Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,117
- 12,089
Naweka lipa no PM😂😂Hahaha kweli bwashee hapo hauwezi kosa bia
Naweka lipa no PM😂😂Hahaha kweli bwashee hapo hauwezi kosa bia
Mkuu Mimi nipo serious aiseee kama una koneksheni ya kibarua Fanya mambo Mzee maana nikisema kazi nitakuwa muongo hakuna kazi kwa mwenye elimu ya kidato cha 6🥹🥹Hahhaa sipeleki hela kwenye hela, ila huu uzi ni kupeana connection nisije nikajaziwa inbox za hela badala ya connection 😅
😀😀😀wewe mwongo I'd yako naona humu zaidi ya miaka 20 unakosaje kibarua?😃Mkuu Mimi nipo serious aiseee kama una koneksheni ya kibarua Fanya mambo Mzee maana nikisema kazi nitakuwa muongo hakuna kazi kwa mwenye elimu ya kidato cha 6🥹🥹
Kumuamini mtu mwenye I'd iliyo na herufi kubwa tupu ni changamoto hapa ndani😂😂😀😀😀wewe mwongo I'd yako naona humu zaidi ya miaka 20 unakosaje kibarua?😃
Mkuu hii ID Ina watumiaji wengi tunarithishana kama ukoo kwa hiyo Leo niliyezamu ni jobless kabisa kwa hiyo mkuu wewe kama una connection wewe niambie tu🥹🥹au Hadi niseme sijala mnichangie hata efu Tano?😀😀😀wewe mwongo I'd yako naona humu zaidi ya miaka 20 unakosaje kibarua?😃
Hebu nitazame bwashe lipa ipo next postMtoto halali na hela 😄 nilitaka nije na connection za vijana wa kichaga nikaona ina ubaguzi bwashee
🚶😀😀acha zako
wewe ni mbeba maono hayo so anza tunafataHii nimetaja kwa kila mtu , kila la heri, mnanitwikwa zigo Peke yangu sasa😁
sasa sio mkaanze kuomba 100 , 100 ombeni michongo mtengeneze hizo miaMkuu habari, naomba unijibu pm mkuu wangu
Pfunguo ufoi, kipopori Chechifuma tikyi😃😃kumwaga maji kwenye shimo la kipopori 😃 leka shindo shoo mleu 😄