Milioni 2 mkuuMtaji wa shingapi
Milioni 2 mkuuMtaji wa shingapi
I am so blessed to hear that jamani..!š¤Naendelea vizuri my dear sis
How are you?
Ha ha ha watu wanabeza 10m hawajui inaweza kubadili maisha ya mtu mwenye akili.Yoda nishakutumia pm, mi million 2 tu inanitosha kujaza meza yangu ya vijora..!! š„
Uko poa master?Sasa kwanini hujalewa leo na uzi wako huu umenyooka š
Hivi kule jukwaa la ajira huwa hawapost nafasi za kazi?USHAURI WANGU
Kama kuna mtu ana connection ya kazi aiweke hapa ili vijana wachangamkie fursa,mitaa tunayotoka majobless ni wengi hii itakuwa neema kwao pia
Nawasilisha.
Anipe hiyo pesa niizungushe nipate pesa ya kwendea kwa Fally mie tar 28 š¹Ha ha ha watu wanabeza 10m hawajui inaweza kubadili maisha ya mtu mwenye akili.
huwa wanapost lakini hapa panaonekana special kiasi chakeHivi kule jukwaa la ajira huwa hawapost nafasi za kazi?
Sjui nani anipe diliNimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha š¤
Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa kusaidia watu humu kwa namna ya kuwapa michongo na connection mbalimbali , mda mwingine nafanya kutoa sadaka kuwapa mitaji madogo, japo ni kidogo kwa wale waliobahatika wanajua.
Sisi sote humu ni ndugu kwa walio na moyo wa utoaji na kusaidia tusiache kusapotiana hata kwa kidogo tu.
Kiranga nzalendo The Icebreaker Bufa
Sio wote mkuu wengine tunatamani fursa hata ya kupata Moja mbili tatu kutoka kwenu, msituhukumu wote .hawa madogo hawana jema sina hamu nao tena
Uko poa master?
Nimefurahi mno kusikia hivyo,Naendelea vizuri my two and not only crushie
Nimefurahi mno kusikia hivyo,
Hata ka-appetite kangu kameongezeka maana huu ugali chainizi hapa ulikuwa unanishinda!
NSSF hapo nitakudanganya mkuu, labda kwenye pombe zangu nilikutana na wa huko nitakushtuaMkuu:
Mimi naomba kama una connection ya mtu wa NSSF, kuna chenji zangu ziko humo ni mwaka sasa nimeachana na ajira. Mwajiri anazingua kunipa ushiriano maana mm ndio nilivunja mkataba.
Natakaman hata ningepata kampuni ya ulinzi au HR wa shelii niwape pesa za michango yamiezi 3 wanipelekee afu wanipe certicate of service nikadai chenji zangu nifungue hata genge.
Msaada wenu wakuu