Endelea kuwa na moyo wa imani mkuu tuniani tunapita tu.Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha 🤔
Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa kusaidia watu humu kwa namna ya kuwapa michongo na connection mbalimbali , mda mwingine nafanya kutoa sadaka kuwapa mitaji madogo, japo ni kidogo kwa wale waliobahatika wanajua.
Sisi sote humu ni ndugu kwa walio na moyo wa utoaji na kusaidia tusiache kusapotiana hata kwa kidogo tu.
Kiranga nzalendo The Icebreaker Bufa
Kabisa mkuu, tumetoka mbali sanaYeah connection muhimu ,ukiacha wale waliozaliwa kwenye familia bora ,wakimaliza shule wazazi wanawapa connection ila wenzangu na mimi waliozaliwa familia ya pangu pakavu tia mchuzi lazima upitie magumu kwanza lakni ni temporary ,cha msingi ni kupambana while unasikilizia michongo huku ukitafuta connection.
😀😀bwashee wewe hauna shida
Kwani anadanganya?😹Na wewe unamuamini huyu mlevi😹
Wote kazi tuliifanya kipenzi..!!Nafikiri ashukuriwe Lamomy kwa mabadiliko haya makubwa. Unafanya kazi nzuri mama.
Bwashee nakuelewa mnoHongera sana kwa wazo zuri
Watu wa JF ndo hawa hawa tulionao humu mitaani na katika maisha changamoto zipo hazikwepeki so cha muhimu ukipata nafasi na una uwezo wa kumpush mtu unampush tu na yeye akapate ridhiki at least apate unafuu kwenye maisha yake
JF niliuchukuliaga ni mtandao wa kawaida lakini nimegundua huu ni zaidi ya mtandao na kikubwa ni kuheshimu kila mtu, tupigane banters lakini tusivunjiane heshima kwani hatujui kesho itakuwaje
Binafsi na mimi mtandao huu umeplay role kubwa sana kwangu mpaka hapa nilipofikia, huu mtandao una watu wema aisee na kwa kawaida hivi hauwezi kuwadhania kabisa yaani 😀 ningeweza kumtag hapa kama angeniruhusu, huyo mtu ni balaa aisee watu wa aina yake wapo wachache sana duniani
Watu wazito wapo wengi humu na ambao wana moyo wa kusaidia wengine so nahisi watalipokea vyema wazo lako na JF itakuwa ya mfano
Ndo unipe sasa zamu yangu..!!Lamo mimi sibani , wa michongo wananijua vizuri japo now nimepunguza
Nishakucheck PM....😋
Mi pesa natoa wapi min? 😥Hahhaa sipeleki hela kwenye hela, ila huu uzi ni kupeana connection nisije nikajaziwa inbox za hela badala ya connection 😅