Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Hakuna kiasi cha pombe ambach ni salama kwa afya.
View attachment 987950
Every time a person is dying as a results of smoking sigarrets and most of the users are those who pretend that they do not drink but do so in secret esp. Middle east muslims. Take example Saddam Hussein, Mohamed Ghadaffi. What did they found in their Manssion?? Very expensive alcohol so???? Watu wanakunywa weee mpaka wanafikisha miaka 115? Nani anawazidi wataliano na wafaransa kwa mvinyo na ndio unawafikisha huko. Vijijini mababu zetu wameishi over 100 sababu ya kunywa Mbege na Rubisi wewe unatuletea hayo. Kanywe maji uishi.
 
Tunaotumia Mvinyo/Divai tunahusika na hili onyo ?
Mi nafikiri mwenyekiti wetu mshana kakosea kuweka hii link. Nisinywe pombe ili nini sasa?
Kwkifupi sisi hatuhusiki na hii mada tuwaachie chini ya 18.
 
Asema bwana
20190106_223729.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli una nia ya dhati ya kuacha pombe njoo PM nikupe dawa. Mm nilikuwa mnywaji sugu na ilibaki kidogo sana pombe iniingize kaburini. Sasa hivi hata harufu ya pombe sitaki kuisikia....napata kichefuchefu pindi nikisikia harufu yake.
My spirit is willing to quit alcohol... but my body is very very weak.. najua athari zooote za kunywa pombe.. najitahidi kunywa kwa kiasi. Ila bado nashindwa kuacha kabisa.. nifanyeje wakuu????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom