Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Nyie ndiyo mnaotumwa na mabeberu kutuyumbisha.
Yaani mimi, mimi niache kunywa pombe wakati pombe ndiyo kitu inachangia mapato makubwa zaidi kwenye bajeti yetu?!
 
Wote siku moja tutakufa lakini siku zote zilizobaki kabla ya kufa tutakua tunaishi so live your life brethren siku za kuishi ni nyingi kuliko za kufa
 
Mleta mada kwa hii topic utatukanwa kila tusi [emoji3]

Kwa ufupi mvuta sigara ana nafuu mara mia ya mnywa pombe kwa sababu athari za sigara zinaathiri zaidi ogani chache: mapafu na ubongo lakini mnywapombe : moyo, ini, figo, ubongo achilia mbali mfumo wa chakula na damu.

Hakuna cha kunywa kiasi. Kama wataka kifo kisichokulaza miezi kwa miezi na kwa mateso makubwa kitandani acha pombe na sigara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nashangaa sana pale watu wanapochukua cause moja ya kifo na kuacha nyingine. VP kuhusu uzinzi, sigara, ulaji mbovu? Je nisipokunywa pombe nitaishi milele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada kwa hii topic utatukanwa kila tusi [emoji3]

Kwa ufupi mvuta sigara ana nafuu mara mia ya mnywa pombe kwa sababu athari za sigara zinaathiri zaidi ogani chache: mapafu na ubongo lakini mnywapombe : moyo, ini, figo, ubongo achilia mbali mfumo wa chakula na damu.

Hakuna cha kunywa kiasi. Kama wataka kifo kisichokulaza miezi kwa miezi na kwa mateso makubwa kitandani acha pombe na sigara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinywaji pendwa hicho
 
Back
Top Bottom