Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

niliacha pombe kwa muda wa miezi 8,na kipindi hicho neema ya kupiga dili kila siku ndo ilikuwa imekubali,nilichoweza kufanikiwa ni kufuatilia sheria ya kupata milo 3 kwa siku,lakini kuhusu matumizi yaliongezeka mara dufu zaidi ya pale nilipokuwa nakunywa kuanzia hapo nilisema sintokuja kuacha pombe unless kwa mashariti ya daktari.
 
Back
Top Bottom