Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Tusipokunywa haimaanishi kwamba hatutakufa.

Kifo kipo pale pale haijalishi umekunywa au haujanywa.

Kwani wasiokunywa hawafi ??? Tunakufa tunaokunywa tuuu ????

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siogopi kifo naogopa gharama za kulinda utajiri nitakaokuwa nao pamoja maisha yangu kama ninge weka akiba fedha yote ambayo ningekuwa nimeserve kwa kutokunywa pombe kwa miaka 20 iliyopita. poleni zenu mafukara msikunywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nina miezi mitatu now nimeacha niliamua personally japo nilipata shida mwanzo kutokana na mazoea mwisho nikazoea now nakutana na walevi na tunakaa bar hadi saa sita nakunywa juice hadi wameshangaa kikubwa ni maamuzi
Nina miaka nane sasa tangu siku niliyoacha kunywa pombe na kuacha sigara zote(kubwa na ndogo)

Nimeshindwa kitu kimoja tu mpaka leo nahisi nikiweza hiki pia nitashukuru sana najitahidi kupanda inafika mpaka miezi mitatu ila nastuka tayari nimeshaharibu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My spirit is willing to quit alcohol... but my body is very very weak.. najua athari zooote za kunywa pombe.. najitahidi kunywa kwa kiasi. Ila bado nashindwa kuacha kabisa.. nifanyeje wakuu????
Endelea kunywa!
 
Unazungumzia kunywa pombe au kuwa mlevi? tuanzie kwanza hapo maana pombe imeanza kunywewa kabla ya Kristo
 
Pombe ni Noumer!
Hata wenye majina hayo hujikuta na msongo wa mawazo yanayosababishwa na uhafifu wa mdindo na kupelekea muhusika kuwa na hasira zisizo na uhalali.
 
Wote tukiacha pombe serikali itaokota kodi toka wapi?! Jambo la muhimu ni kuwa na kiasi.
 
Back
Top Bottom