Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Mm nilikuwa mnywaji wa ajabu nikiwa na pesa nitkunywa bia, na vinywaji vikali ila nikikosa banana zitanyweka hdi nikome kuacha siwezi Dah nashukuru sana Mungu kuama mkoa na kufikia kijijini miezi 6 bila kunywa saivi mwaka wa 7 huu naisikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My spirit is willing to quit alcohol... but my body is very very weak.. najua athari zooote za kunywa pombe.. najitahidi kunywa kwa kiasi. Ila bado nashindwa kuacha kabisa.. nifanyeje wakuu????
Jiue, unataka uache kwenywa pombe uanze ushoga hama?!?! Achaga ufanfanfaliknkonko. Kula tungi mazeee kufa kupo
 
Una uhakika gani kama BABU YAKO HAKUWAHI KUONJA POMBE..?? Afadhali ungesema "baba", ila babu enzi za ujana wake hukuwahi kumuona.

Kuhusu babu huna hakika,ni kwamba uliambiwa tu, ukaamini. Yawezekana alikuw anapiga mzigo kimya kimya, then akaacha ila wenzake wakaendelea.

Kufika miaka 90+ sio sababu kwamba hanywi pombe. Ni Mungu tu kampendelea. Babu yng mzaa mama amekufa na miaka 110+ (inasemekana 116 kwa walivyohesabu watoto wake) na alikuw anakunywa pombe na ugoro anavuta.

Tusiunganishe mapenzi ya Mungu na kuhisi kwamba LABD pombe ndio sababu, japo kwa macho ya kibinadamu, tunaweza kufikir hvy. Wapo walevi mpk wanazeeka sana, na wapo wasiokunywa kbs na wanakufa mapema mnoo....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
We utakuwa unakunywa kidogo..?
 
Back
Top Bottom