Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

Every time a person is dying as a results of smoking sigarrets and most of the users are those who pretend that they do not drink but do so in secret esp. Middle east muslims. Take example Saddam Hussein, Mohamed Ghadaffi. What did they found in their Manssion?? Very expensive alcohol so???? Watu wanakunywa weee mpaka wanafikisha miaka 115? Nani anawazidi wataliano na wafaransa kwa mvinyo na ndio unawafikisha huko. Vijijini mababu zetu wameishi over 100 sababu ya kunywa Mbege na Rubisi wewe unatuletea hayo. Kanywe maji uishi.
This is Fallacy... lay people only will believe in what you are saying....

Babu yangu is over 90 hajawahi kuvuta wala kunywa wadogo zake wote waliokuwa wanakunywa na kuvuta hata 70 hawakufika
 
Kama kweli una nia ya dhati ya kuacha pombe njoo PM nikupe dawa. Mm nilikuwa mnywaji sugu na ilibaki kidogo sana pombe iniingize kaburini. Sasa hivi hata harufu ya pombe sitaki kuisikia....napata kichefuchefu pindi nikisikia harufu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe ulitumia dawa
 
Kwani nani kakukataza mkuu? Wewe kunywa tu hadi mwisho wa dahari. Hata watengenezaji wa pombe huonya: ALCOHOL DRINKING IS DANGEROUS TO YOUR HEALTH lakini watu hawakomi. Ikiwa watengeneza pombe (na sigara) wanafahamu zina madhara itakuwaje wewe mlaji usiamini? Endelea kupiga maji mkuu. Kula pombe kufa kwaja!
Hpa yenyew tunazitandikaaaa
Tuacheni na pombe zetu kama we hutumi ni wewe

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nani kakukataza mkuu? Wewe kunywa tu hadi mwisho wa dahari. Hata watengenezaji wa pombe huonya: ALCOHOL DRINKING IS DANGEROUS TO YOUR HEALTH lakini watu hawakomi. Ikiwa watengeneza pombe (na sigara) wanafahamu zina madhara itakuwaje wewe mlaji usiamini? Endelea kupiga maji mkuu. Kula pombe kufa kwaja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunalijua hilo sisi wengine si Wageni wa pombe

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache tu wanywe but they are doing so at their own risks.

Jirani yangu mlevi na mvuta sigara na bangi aliumwa TB akaambiwa aache kunywa na kuvuta ili asife hakumsikiliza mtu, tena alikuwa akijibu kwa jeuri: NIKIFA FANYENI SHEREHE. Haikupita miezi mingi akaaga dunia watu wakafanya SHEREHE.

Maisha ya mtu ni jambo binafsi hakuna mtu mwenye uchungu na maisha ya mtu kuliko mwenyewe. Acheni watu wanywe pombe kwa raha zao na kwa hasara zao wenyewe ila kwa wale ambao mnatamani kuacha pombe lakini nafsi inasita, njoeni PM niwape dawa.
Tumia tu baba, ila hizo figo na maini jiandae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kama unaamini utakufa kwa sababu yoyote ile, panda juu ya ghorofa ujirushe chini. Usiogope kwani hata usipojirusha utakufa tu. Ni bora ujirushe badala ya kujicheleweshea kifo mkuu.
Tusipokunywa haimaanishi kwamba hatutakufa.

Kifo kipo pale pale haijalishi umekunywa au haujanywa.

Kwani wasiokunywa hawafi ??? Tunakufa tunaokunywa tuuu ????

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siogopi kifo naogopa gharama za kulinda utajiri nitakaokuwa nao pamoja maisha yangu kama ninge weka akiba fedha yote ambayo ningekuwa nimeserve kwa kutokunywa pombe kwa miaka 20 iliyopita. poleni zenu mafukara msikunywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Deals za hela hupatkana kwenye pombe. Nsipokunywa haimaanishi ndo ntajenga maana najua pombe sio tofali wapa cement. Fact ni kuwa wanywaji ndio wenye maendeleo kuliko wasokunywa. Acha nilewe maisha mafupi haya. If u drink or not u will die

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is Fallacy... lay people only will believe in what you are saying....

Babu yangu is over 90 hajawahi kuvuta wala kunywa wadogo zake wote waliokuwa wanakunywa na kuvuta hata 70 hawakufika
Una uhakika gani kama BABU YAKO HAKUWAHI KUONJA POMBE..?? Afadhali ungesema "baba", ila babu enzi za ujana wake hukuwahi kumuona.

Kuhusu babu huna hakika,ni kwamba uliambiwa tu, ukaamini. Yawezekana alikuw anapiga mzigo kimya kimya, then akaacha ila wenzake wakaendelea.

Kufika miaka 90+ sio sababu kwamba hanywi pombe. Ni Mungu tu kampendelea. Babu yng mzaa mama amekufa na miaka 110+ (inasemekana 116 kwa walivyohesabu watoto wake) na alikuw anakunywa pombe na ugoro anavuta.

Tusiunganishe mapenzi ya Mungu na kuhisi kwamba LABD pombe ndio sababu, japo kwa macho ya kibinadamu, tunaweza kufikir hvy. Wapo walevi mpk wanazeeka sana, na wapo wasiokunywa kbs na wanakufa mapema mnoo....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata usipokunywa pombe,kifo ni lazima na hakikwepeki.Nawasihi pia wanywa soda na majuisi nayo si salama kwa afya yenu.
 
Usikute mleta mada ni swala 5 na haimsaidii chochote maishani, yuko tu bitter na watu wanao enjoy maisha.
 
Back
Top Bottom