Nimewakumbuka, MMU Legends

Nimewakumbuka, MMU Legends

Akhaa.... Babu umesahau kuwa mamangu yaani Mwanao alisusiwa mimba yangu na wewe ukaapa ndio utakuwa mlezi kamili? Hao wajomba wanatokea wapi tena?

Na wala hatonishindwa basi ujue.... si kwa dua hilo.

Wewee mzee Asprin wewee!?,.......ati nini? Nimshindwe? Anishindie nini?
......ushaambiwa huyu ni #SoulMate , our bond was made in heaven,....hakuna kitachotutenganisha tena, hata pawe na distance vipi!

#Sahau !!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahhhahha! Chezea dotcom wewe? Wameacha nyonyo wamedakia keyboard ku type jf.....

Si MMU, siasa wala jf doctor kote wapo,......almuradi ukiwa free kusoma jf siku hizi unakuta mtu anaanzisha topic asb anauliza, anajijibu, kisha anajishangaa mwenyewe kwenye topic ya pili anayoanzisha mchana...

Wapi Teamo? Jamaa nae sijui kawa mchungaji siku hizi, kimyaaaaa.....
The Finest? ......hahhahh, ushaoa wewe ee?! Au ndio ule upako ushakukolea?

Respect bro.
Hahahah....tupo bana
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimefurahi kukuona Mkuu Mbu na pia kusikia kwamba you're still alive. Mungu ashukuriwe sana. MwanajamiiOne wewe baada ya kusepa naye akaamua kusepa ukumbi hauna utamu kwa MJ1 bila kukuona humu ukitupa hekima na busara zako.

Asprin nadhani atapita mtaa huu nafasi ikimruhusu.

Wengi bado wapo na wengine ama wameamua kuingia mitini kimoja au wamo humu wameamua kubadili ID.

Uwe unapita pita humu mara kwa mara kuja kutupa baraka zako maana ukikaa muda mrefu next time unaweza kukuta giza nene kutokana na mashetani kupafunga mahali hapa. Hawataki tuwajadili mambo yao.

.......e bana ee, upo?!

Asprin, MwanajamiiOne, BAK na wengineo bado mpo uwanja huu?!

It's 2017!!! Mbu's still alive Alhamdulillah,
Naogopa hata kuulizia wengine, maana dahh,......waweza ambiwa 'tulishamzika kitambo!'

Peace & love.
 
Asante bro,
Hivi, mzee mzima Dark City yupo wapi siku hizi? Baada ya 'wakongwe' wengi kuingia mitini, nakumbuka naye ni miongoni mwa waliobakia kuendeleza busara zao humu, nazungumzia miaka miwili iliyopita!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakongwe huonekana baadhi yao nakumbuka kumuona huyu wiki chache zilizopita kwenye uzi kuhusiana na kifo cha DenaAmsi.

Inna lillah wa inna ilayhi rajioun! ....... DenaAmsi amefariki?!

Apumzike kwa amani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
.......e bana ee, upo?!

Asprin, MwanajamiiOne, BAK na wengineo bado mpo uwanja huu?!

It's 2017!!! Mbu's still alive Alhamdulillah,
Naogopa hata kuulizia wengine, maana dahh,......waweza ambiwa 'tulishamzika kitambo!'

Peace & love.
Hapo Red... RIP Dena Amsi

Mkuu Moskwito... ukiendelea kupotea hivi nakuadd kwenye ignore list yangu. Tafazali nirudishie mjukuu wangu MwanajamiiOne kama tabia yako ndio hiyo.

Nimefurahi kukuona Mkuu Mbu na pia kusikia kwamba you're still alive. Mungu ashukuriwe sana. MwanajamiiOne wewe baada ya kusepa naye akaamua kusepa ukumbi hauna utamu kwa MJ1 bila kukuona humu ukitupa hekima na busara zako.

Asprin nadhani atapita mtaa huu nafasi ikimruhusu.

Wengi bado wapo na wengine ama wameamua kuingia mitini kimoja au wamo humu wameamua kubadili ID.

Uwe unapita pita humu mara kwa mara kuja kutupa baraka zako maana ukikaa muda mrefu next time unaweza kukuta giza nene kutokana na mashetani kupafunga mahali hapa. Hawataki tuwajadili mambo yao.

Nimepita mkuu, nimejisikia faraja sana kuwasoma malegends wa MMU.

Mi nipo sana, sema kuna Konda mmoja ananichefua sana... Tatizo bosi wake anampa kiburi basi imekuwa tabu tupu hapa mjini.
 
Konda na bosi wake tupa kuleeee. Sanaa zao zimeshatuchosha.

Hapo Red... RIP Dena Amsi

Mkuu Moskwito... ukiendelea kupotea hivi nakuadd kwenye ignore list yangu. Tafazali nirudishie mjukuu wangu MwanajamiiOne kama tabia yako ndio hiyo.

Nimepita mkuu, nimejisikia faraja sana kuwasoma malegends wa MMU.

Mi nipo sana, sema kuna Konda mmoja ananichefua sana... Tatizo bosi wake anampa kiburi basi imekuwa tabu tupu hapa mjini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom