KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
Hapo ndipo unaponikosha. Humumunyi maneno, kama ni kisu unakiita kisu...kama ni panga unaliita panga![/QUsOTE]
Mumeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hapo ndipo unaponikosha. Humumunyi maneno, kama ni kisu unakiita kisu...kama ni panga unaliita panga![/QUsOTE]
Mumeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hatimaye roho yangu imepona.
Nataka tuweke mizani tuone nani anampenda mwenzie zaidi. Yani wivu wangu mpaka kwa kaka zako.
nimekukumbuka pia mpenzi wangu J.leeNimewakumbuka sana Excel, Window7 7, mango g, Husninyo miss neddy, evelin salt miss chagga na wengine wengi tuu
una roho mbaya! au kwavile nimejoin 2010?Nimewakumbuka tu huko mliko jamaa zangu wa miaka ile, Uwanja wa MMU umekuwa mpana sana, siku nazo zimekwenda alhamdulillah. Anyway ni salaam tu kwenu nyote; MwanajamiiOne, Dark City, nyumba kubwa, Nyamayao, The Boss, The Finest, bht, Gaga, Kaunga, Asprin, Maty, King'asti, na wengineo weeeeengi tangia miaka ile ya 2007.
Peace and love, maisha yanaendelea
mi ndo hunimithi ana neenee!??Ilete hiyo hamu huku niitendee haki.
Mzima lakini???
mi ndo hunimithi ana neenee!??
J.lee kumbuka weye piaNimewakumbuka sana Excel, Window7 7, mango g, Husninyo miss neddy, evelin salt miss chagga na wengine wengi tuu
yaani hata sielewi, sijui nimekuwaje!! hadi wachumba zangu wa JF wote wamenikimbia.........halafu wewe, hivi ni kwanini lakini?.....😉
Wewe endelea kujificha tu!
Ilete hiyo hamu huku niitendee haki.
Mzima lakini???
Switluv wangu mbona siku hizi wanikimbiaaa??Mumeeeeeeeeeeeeeeeeee