afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,152
- 9,268
Hapo Red... RIP Dena Amsi
Mkuu Moskwito... ukiendelea kupotea hivi nakuadd kwenye ignore list yangu. Tafazali nirudishie mjukuu wangu MwanajamiiOne kama tabia yako ndio hiyo.
Nimepita mkuu, nimejisikia faraja sana kuwasoma malegends wa MMU.
Mi nipo sana, sema kuna Konda mmoja ananichefua sana... Tatizo bosi wake anampa kiburi basi imekuwa tabu tupu hapa mjini.
R.I.P Dena.
Bado tunakukumbuka .
Babu shikamoo.
Hii thread imenifurahisha mno kuona wanawapotevu wanarudi Asante Mbu .
Usipotee Sana. Uwe unarudi kutusalim 🙄
Maria Roza ndio kapotea jumla. Na Gaijin aka mwalimu sijui yuko wapi ? -🙁



