Nimevunja uchumba wa watu

Wewe huna akili, ila huyo binti hana akili zaidi...

Alafu inaonekana nyie wanaume wote wawili mnaenda kushinda kwa binti badala ya binti aje kushinda makwenu... aibu...


Cc: mahondaw
 
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Aaha kama utamuoa wewe sawa.. Ila sasa una uhakika demu anakupenda kweli na yupo tayari umuoe???[emoji23][emoji23] Maana mkuu usije kumuoa sababu tu kaachwa na jamaa ake maana jama akirudisha majeshi aisee utakuja unalia hapaa...Atamlaaa anavyotakaa
Aiseee
 
Mwana kulitafta mwana kulipata binti amesha lipata nawew ni zamu yako nenda wakakuokote nyayo za miguu wakuroge unaharibu maisha ya mtoto wa mtu af unaongea kwa uhuru ebu fikiria ingekua uyo ni dadako si aibu ya mtaa iyo.
 
Baharia sio watu wazuri aisee
 
Kila muosha huoshwa...subiri nawe yatakukuta.Umefanya tabia mbaya sana kwa kukusudia mfyuu[emoji57]
 
Itakugharimu wewe na uzao wako, asilimia 99 ya matatizo yanayowakumba wanadamu na uzao wake ni ya kujitakia.
Karma itamtafuna yeye Pamoja na kizazi chake.
Pia huyo mwanamke hata angeolewa asingekuwa mke mwema kwa jamaa na ndo Maana MUNGU kaamua kumuonyesha muoaji mapema..
 
Yeahhh!
 
Lawama ziende kwake kwanini kauita kwake..Na mwisho nnakupongeza kwa ujasiri kulala kwa demu
 
sijawah kuona jamaa mpuuz kama wewe, ukienda kubakwa huko ? Umeharibu mipango ya watu alafu unataka kwenda kuongea nao? wakikudhuru ? we huna makosa mwenye makosa ni binti, You guys mbona mpo soft ivyo sikuiz ? mkitekwa mtasemaje ??
Hahahahaa! Anajipeleka machinjioni.
 
Mimi wapo familia yangu walininyima nisiolewe 19 kisa mdogo ikaja 22 hiyo siyo dini yako sasa ninashanga na wanataka nitoke home nimezeeka so familia zipo ambazo wanakukatalia usiolewe ukiwa mdogo uolewe ukiwa mzee sasa sijui nani atakuoa mzee hivyo.
 
Mapenzi upofu ,hawezi kuona kama anakosea. Niliwahi kuwa na mpenzi yuko form 3 na ni mtoto wa mkuu wa polisi wilaya . just imagine hiyo risk hapo.
umeona ? unajua jamaa alikuwa anawasupport vipi wazazi wa dem ? kuna mambo meng ya kucobsider kabla hujajupeleka kwenye mdomo wa mamba
 
kama nimekuelewa ulisema ulitoka kutafuta mkate wa watoto, unayo familia?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…