AiseeeSasa uende ukaelezee ulivyokuwa unamgegeda au??? au wataka ukatoe mahari wewe...
AiseeeAaha kama utamuoa wewe sawa.. Ila sasa una uhakika demu anakupenda kweli na yupo tayari umuoe???Maana mkuu usije kumuoa sababu tu kaachwa na jamaa ake maana jama akirudisha majeshi aisee utakuja unalia hapaa...Atamlaaa anavyotakaa
Baharia sio watu wazuri aiseeInavyoonekana huyo mwanamke alipewa onyo juu yako na alipokushirikisha haukutilia maanani, maana inaonekana anakujuwa vizuri na ukute ulipofika majirani walimpa taarifa hivyo alikuja akiwa tayari ana maamuzi, yaani ndugu zake kumtuliza inakuwa ngumu.
Kibaya utakuta umeoa na haukuwa na nia ya kumuoa, kama unamuona ni mwanamke anayekufaa haupaswi urudi nyuma kama ambavyo ulifanya alipokupa onyo juu ya kuwa na mahusiano lakini haukupunguza mapenzi kwake.
Mapenzi yale yale uliyokuwa nayo ndiyo unapaswa uyaoneshe kwake...
Kwa ushauri wangu kubali kwenda ila usiende leo subiri kidogo papoe, naamini kwasasa labda ndugu wakawa na jazba zaidi.
Utakuta jamaa alikuwa anamtafutia sababu namna ya kumuacha sababu ameipata tena amekukabidhi wewe, lawama hapati tena na mahari akipewa anaanzisha biashara.
Karma itamtafuna yeye Pamoja na kizazi chake.Itakugharimu wewe na uzao wako, asilimia 99 ya matatizo yanayowakumba wanadamu na uzao wake ni ya kujitakia.
HahahahaaTena kwa demu huyu huyuu...
Yeahhh!Kuwa makini na hawa watu wanaoitwa mama zetu inapokuja suala la mapenzi, Ikiwezekana chunguza vizuri historia ya mapenzi yake ya nyuma haswa huyo aiyejitosa kulipa mahari, isije ikawa na yeye alivunja mahusiano serious ya mtu kumpata. Usiruhusu pride ikakufanya ukajiona kuwa wewe ni mwanaume zaidi ya wote waliowahi kuwa na mwanamke wako kabla yako. Nakwambia hivi kwa sababu kma mwanamke alifika hatua ya kukubali kulipiwa mahari na sababu kuu ya kukubali kuvunja mahusiano ni wewe na si nyingine nzito, basi huyo ni mwanamke dhaifu na usibweteke hata ukioa maana kama a=b na b=c basi a=c, uwezekano wa kupata sababu ya kukusaliti huko mbeleni upo kama alivyopata sababu ya kumsaliti huyu wa sasa ambaye alimwaminisha anampenda hadi jamaa kutoa mahari. Ila lisilojulikana ni usiku wa giza, naamini yapo mengi tusiyoyajua yanayokufanya na wewe uchukue risk hiyo. kila la heri.
NB: Kama kuna uwezekano wa kumake peace na x-fiance, fanya hivyo. Huwezi jua analoliwaza moyoni mwake. Na kama mtafunga ndoa pia huwezi jua atawaza nini juu ya hatua yenu.
Hahahahaa! Anajipeleka machinjioni.sijawah kuona jamaa mpuuz kama wewe, ukienda kubakwa huko ? Umeharibu mipango ya watu alafu unataka kwenda kuongea nao? wakikudhuru ? we huna makosa mwenye makosa ni binti, You guys mbona mpo soft ivyo sikuiz ? mkitekwa mtasemaje ??
Hahahahaa! Anajipeleka machinjioni.
OwkeyNimeongea na watu wanasema nisiende
halafu mbona wanawake wengi sana jamani.
Mimi wapo familia yangu walininyima nisiolewe 19 kisa mdogo ikaja 22 hiyo siyo dini yako sasa ninashanga na wanataka nitoke home nimezeeka so familia zipo ambazo wanakukatalia usiolewe ukiwa mdogo uolewe ukiwa mzee sasa sijui nani atakuoa mzee hivyo.Huwenda ukajiweka pabaya zaidi hasa pale binti asipoolewa na kubaki nyumbani kisha wewe ukaoa sehemu nyingine na wakuone ukiwa na furaha na familia yako huku binti yao yupo nyumbani, kumbuka hayupo mzazi aliye tayari binti yake kuzeeka akiwa nyumbani hiyo inaonesha alishindwa kumlea katika maadili mema.
Huku kila mmoja anasema lake ila haitokuwa sababu ya wewe kushindwa kufata maamuzi yako, unayo bado nafasi kwake na kwako wewe jiandae kwa lolote maana inategemea busara za huyo jamaa ila kama ni mtu wa visasi hata ukija kumuoa mwingine atafanya aliwezalo akulize nawewe.
umeona ? unajua jamaa alikuwa anawasupport vipi wazazi wa dem ? kuna mambo meng ya kucobsider kabla hujajupeleka kwenye mdomo wa mamba
Nakula jeans naenda