Harrykany
JF-Expert Member
- May 10, 2019
- 619
- 669
Kama ndo mpango wako basi endeleza walipo ishia wakisha kubali kuludisha mari na wewe peleka yakoNampenda kinyama ila walimwengu hawajanielewa tuu. Nipo tayari kumuoa kabisa
Kama ndo mpango wako basi endeleza walipo ishia wakisha kubali kuludisha mari na wewe peleka yakoNampenda kinyama ila walimwengu hawajanielewa tuu. Nipo tayari kumuoa kabisa
Kibaya huyu umemchukulia kwenye mikono yangu, hiyo vita nadhani itakuwa vita ya tatu ya dunia.mkuu hili litakuwa zito zaidi maana wana JF ndo mashahidi
Kama ndo mpango wako basi endeleza walipo ishia wakisha kubali kuludisha mari na wewe peleka yako
Mkuu sitatumia mabavu. Natumia Diplomasia. Tutaelewana tuuKibaya huyu umemchukulia kwenye mikono yangu, hiyo vita nadhani itakuwa vita ya tatu ya dunia.
PoaaSawa Mkuu nadhani watakaa ijumaa au Jmosi. Nitaleta taarifa
Sawa mr. Nimekusoma vizuri mkuu.Kikubwa chukulia suala la kawaida usilipe sana uzito kwakuwa upo tayari kuoana na huyo dada hapo ungemtia mimba kisha ameachwa na mchumba wake halafu hauna malengo ya kumuoa na humpendi hapo ilikuwa upate muda zaidi wa kufikiria.
Sawa Mkuu nadhani watakaa ijumaa au Jmosi. Nitaleta taarifa
Kaka nimesikia unachosema ni kweli kabisa. Sina shaka na nasaha zako. Nakili kuwa nimekosea sana. God have mercy. Ngoja nisubiri Jmosi nione nini kitajiliWanaume wengine tuwe na utu kama bint amekuambia nina mtu na na mahari katoa haina haja ya kuwa kinganganizi maana! Hata ukija ukamuoa kama jamaa aliacha laana inabid ukatubu na uombe rohoo ya laana iondoke kwa bint huyo utakayemuuoa maana itawatesa sana! Inaonyesha waz kuwa ulijua hil jambo
Kwa maelez yako n kwamba bint alishakuambia na bint alishaonywa akasema hana mahusian nawe
Wanaume tuwe makin kubeba laaana za kujitakia
Ni jins huyo jamaa kapoteza muda na huyo bint had kumtolea mahari
Je huyo kijana hio aibu ataipeleka wap wakt chanzo ni ww
Nikuambie tu umempenda huyo bint ila kuna uwezwkano mkubwa wa ndoa yenu kuja kuvunjika au kubujikwa na ugomvi happ baadaye
Na ww ndo utakuwa chanzo cha ugomvii
Kwa sabab hutamuamin na jmii itakusukuma sana kuhusu hyo bint hivo utakosa naye furaha na utamcjoka mapema
Nikuambiee tu tofautisha akili na hisia inaonekana ww una hisia umeshindwa kuzikontrol
Ikiwezkqnq kuwa msuluhisi wa hayo mahusian koz hamfikiii naye mbal na ww hata kama utamuoa kuna uwezekana mkubwa familia ya bint isikupende maana wakakuona ww ndo chanzo cha aibu pale kwao
Kaka nimesikia unachosema ni kweli kabisa. Sina shaka na nasaha zako. Nakili kuwa nimekosea sana. God have mercy. Ngoja nisubiri Jmosi nione nini kitajili
Mwanamme mzima unaenda kwa demu na anakupikia chakula!! kweli wanaume tumebaki wachache sana; jamaa na wewe wote sawa tu alafu unajisifu kua umearibu uchumba.God have mercy
Mwanamme mzima unaenda kwa demu na anakupikia chakula!! kweli wanaume tumebaki wachache sana; jamaa na wewe wote sawa tu alafu unajisifu kua umearibu uchumba.
Swali ni kua umejiridhisha kua umeongea na mtu uliyemtaja? nyie ndo mnaokotwa barabarani mkiwa kwenye viroba.
Eti anaenda kwao; sasa aende akutane na kamati iliyopokea mahari kama hawatamlazimisha kulipia mahari on the sport. Watu ambao hawajawahi kwenda ukwenu kuongelea mambo ya ndoa utawajua tu; anadhani mpaka mtu kufikia hatua ya kutoa kishika uchumba na baadae mahari alafu baadae jamii atamuonaje huyo binti huko kwao?Kaka alishakosea so la msingi ni kumuomba msamahaa jamaa muhsika halaf amwambie kuwa ni hisia tu na hakujua kuwa kamtoleq mahari
Inaonekana una jeuri kabisa Haki ya Mungu ingalikuwa mimi sasa hivi ungekuwa upo kwenye fridge la Mochwari au ushafukiwa NAKUCHAPA NGUMI NYINGI SANA KABLA SIJAKUCHAPA RISASINafikiri ananijua. Maana nimekuwa karibu sana na binti
Mkuu mbona roho ya mauti imekutawala sanaInaonekana una jeuri kabisa Haki ya Mungu ingalikuwa mimi sasa hivi ungekuwa upo kwenye fridge la Mochwari au ushafukiwa NAKUCHAPA NGUMI NYINGI SANA KABLA SIJAKUCHAPA RISASI
Mkuu mbona roho ya mauti imekutawala sana
True , KARMA kitu mbaya.Itakugharimu wewe na uzao wako, asilimia 99 ya matatizo yanayowakumba wanadamu na uzao wake ni ya kujitakia.