Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,981
- Thread starter
- #181
Hawa wakoman sijui wametoka wapi
Sawa broohUkienda wataku hanithi kama sio kukutahiri kwa mara ya pili. Just mute
nipe sababu tatu kwanini uende?
Unazoona ww za msingi zinakufanya uchome pesa na mda
Ni kweli bro sasa tutafanyajeNa mfeel sana huyo.muathirika, frustration ya kurudisha mahari.ni ngumu sana kwa kila mtu
DaahNikwambie hivi, kwa upande wa wazazi wa msichana ukishindwa kuvaa viatu vya mchumba wake wa awali itakugharimu mno, tena usipomuoa ukaandike urithi kbs kwa ndugu zako.
Haya mambo bhana!! Shida ilikua kwa mwanaume au mwanamke hadi mmoja akatokomea?Me kuna cster angu alitoroka siku ya arusi kabisaa
Nia yako kwake ilikuwa Nini? Kuhave fun tu? Muoe sasaKo unamanisha nisiende?
Mwanamke mzee...Haya mambo bhana!! Shida ilikua kwa mwanaume au mwanamke hadi mmoja akatokomea?



karma karma karma .........na pia huoni type ya mwanamke ulie naye kama huyo aliaidiwa ndoa wewe unanini cha zaidi cha kumuaidi mkuu? ......unawafahàmu marafiki zake ambao walikuwa kama wewe ?Nataka nimwambie mama ake kuwa kama watashindwana na jamaa mm nitamuoa bint
Sasa nifanye nini wazee.karma karma karma .........na pia huoni type ya mwanamke ulie naye kama huyo aliaidiwa ndoa wewe unanini cha zaidi cha kumuaidi mkuu? ......unawafahàmu marafiki zake ambao walikuwa kama wewe ?
personaly ilishanitokea kama hivi na nimejutiaga sana sababu mwanamke mwenyewe nilikaaa nae almost miaka mitano ila niliachwa sababu simtafuti mara kwa mara ila nilifahamu tu kuna kidume kimeshatangaza nia uko iliniuma ila i did the same .....itakutokea puani mkuu
start a fresh mkuu umeshakosea njia
Nia yako kwake ilikuwa Nini? Kuhave fun tu? Muoe sasa
Subiri sasa uone kama Mahari itarudishwa mkuu... Hapo ndo utajua wapo serious na binti kaachwa!! Ukute jamaa alikuwa anatafuta sababu tu ambwagee...Mahari ikirudishwa namuoa
Subiri sasa uone kama Mahari itarudishwa mkuu... Hapo ndo utajua wapo serious na binti kaachwa!! Ukute jamaa alikuwa anatafuta sababu tu ambwagee...
unategemea kuulizwa nn ukienda.Nitakachoulizwa mkuu
Kuwa makini na hawa watu wanaoitwa mama zetu inapokuja suala la mapenzi, Ikiwezekana chunguza vizuri historia ya mapenzi yake ya nyuma haswa huyo aiyejitosa kulipa mahari, isije ikawa na yeye alivunja mahusiano serious ya mtu kumpata. Usiruhusu pride ikakufanya ukajiona kuwa wewe ni mwanaume zaidi ya wote waliowahi kuwa na mwanamke wako kabla yako. Nakwambia hivi kwa sababu kma mwanamke alifika hatua ya kukubali kulipiwa mahari na sababu kuu ya kukubali kuvunja mahusiano ni wewe na si nyingine nzito, basi huyo ni mwanamke dhaifu na usibweteke hata ukioa maana kama a=b na b=c basi a=c, uwezekano wa kupata sababu ya kukusaliti huko mbeleni upo kama alivyopata sababu ya kumsaliti huyu wa sasa ambaye alimwaminisha anampenda hadi jamaa kutoa mahari. Ila lisilojulikana ni usiku wa giza, naamini yapo mengi tusiyoyajua yanayokufanya na wewe uchukue risk hiyo. kila la heri.Asante mkuu. Bado nampenda mwanamke. Kwa namna yake amejotoa kwangu. Ku risk uchumba wake kwa ajili. Yangu. Sina shaka juu ya huu upendo wake
Yaah Hizo busara za Mama..!! Sasa wewe anza kuweweseka uone yatakayokukuta..Mkuu, nimempigia simu mama nimemhulisha. Maana familia hawahui hili swala. Nilitaka nimalize pekeyangu naina inakuwa ngumu. Mama ameniambia nisiende. Nimemtii siendi. Nimemuuliza nifanye nini? Amejibu nisifanye kitu.