Nimevunja uchumba wa watu

Nimevunja uchumba wa watu

Mimi wapo familia yangu walininyima nisiolewe 19 kisa mdogo ikaja 22 hiyo siyo dini yako sasa ninashanga na wanataka nitoke home nimezeeka so familia zipo ambazo wanakukatalia usiolewe ukiwa mdogo uolewe ukiwa mzee sasa sijui nani atakuoa mzee hivyo.
Naamini huwa tunaambizana nyumba flani kuna binti wa kuoa hivyo huwa wengi wanajaribu bahati zao ila muda unavyozidi kwenda hata wale uliowakataa wanakuwa wameoa ama wamebadili mawazo, unapofika huo muda ndiyo pale unaweza kuolewa na mwanaume usiyeridhika nae ukiamini utajistiri kumbe ndipo unahama matatizo ulipozaliwa na kuanza matatizo mengine.
 
Mkuu naomba usiogope Kama moyoni mwako Kuna amani wewe nenda ila pls usiende peke yako ongozana na mtu wa makako tafuta mzee au mtu ambaye umri umeenda hapo hata Kama Kuna lolote yeye ataneutrolise. Ila chondechonde usiende peke yako . Usije ukapotelea huko na familia yako isije ikakuona milele.take care and note my words
 
Naamini huwa tunaambizana nyumba flani kuna binti wa kuoa hivyo huwa wengi wanajaribu bahati zao ila muda unavyozidi kwenda hata wale uliowakataa wanakuwa wameoa ama wamebadili mawazo, unapofika huo muda ndiyo pale unaweza kuolewa na mwanaume usiyeridhika nae ukiamini utajistiri kumbe ndipo unahama matatizo ulipozaliwa na kuanza matatizo mengine.
Nilianza kwa waislamu wakakata wakaja basi wakristo wakakata saivi hata nisipoolewa sishangai naona kawaida wala sina stress yote maisha siforce kitu wala ni maisha tu .
Nakuolewa sio tija kama ukiwa umejipanga kujijenga basi unaishi mwenyewe .
Maana kuwa namtoto wa mtu na hujaolewa hiyo no.
 
Ila haupo umri maalum wa kila mwanamke awe ameolewa cha msingi kuwa real, kuwa mwanamke muelewa, unayejiheshimu waoaji naamini wapo..In shaa Allah nawe itafika zamu yako.
 
Nenda ukatoe mahar ww kaka kama uko hmu jf achana na hyo dada hata kama n ujinga kias gan unadate kwenye maandaliz ya harus?
 
Habari za eid

Kuna binti niponae kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa toka mwaka huu uanze. Nimekuwa nikimpenda sana kiasi cha kujitoa sana kifedha na ki hali kwa muda wote huu.

Lakini binti amekuwa akinisisitiza kuwa yeye ni mchumba wa jamaa fulani na wanasubiri ndoa tuu. Hiyo hali haikunirudisha nyuma kwa mapenzi niliyokuwa nayo kwake.

Juzi jioni Baada ya kutoka kutafuta Ugali wa watoto nikampigia bint kuwa niende kwake au yeye aje kwangu. Binti akasema niende. Basi bila kusita nilifunga safari nikaenda. Tukawa kwake akapika tukala

Hamad mida ya saa4 mlango ukagongwa. Sikuwa na wasiwasi kumbe ni mchumba wake. jamaa akaingia ndani akanikuta nimekaa kwenye sofa, jamaa akaniangalia akaniuliza hivi bado unaendelea na mchumba wangu?? Mm nikawa kimya jamaa akaingia chumbani kwa mwanamke akabeba vitu vyake na kuondoka. Mm nikabaki na yule mwanamke.

Amelia usiku kucha na kunitupia mm izo lawama. Asubuhi jana jamaa ameambatana na mshenga wake wameenda nyumbani kwa akina Binti kudai mahari. Ndugu wa mwanamke wameomba jamaa na mshenga waende Jumamosi ili kikao cha familia kilichopokea mahari kikutane. Baba na mama ya binti wameshindwa kumtuliza jamaa ili wayamalize. Jana jioni nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mzazi wa binti, niliongea nae aiwa analia sana. Nimeomba leo niende nyumbani kwa akina binti nikawasikilize wazazi wake.

Nimemuuliza binti kuwa niende kwao au nisiende binti hataki kusema. Nikampigia dada ake binti kuwa vipi niende kwao?? Dada yake akasema niende.

Hapa nilipo najiaandaa kwenda. Ni mkoa jirani. Ni mwendo wa masaa 4 tu ntakuwa nimefika.
Mmh...
 
Mkuu nilitoa mrejesho huko juu. Niliona nimshirikishe Bi mkubwa baada mambo kuwa tight. Akaniambia nisiende kama ambavyo watu wengi wameshauri. So sijaenda
Mkuu bado ujaenda?
 
Mkuu nilitoa mrejesho huko juu. Niliona nimshirikishe Bi mkubwa baada mambo kuwa tight. Akaniambia nisiende kama ambavyo watu wengi wameshauri. So sijaenda
Ko husumbuliwi tena na wazazi wake?
 
Back
Top Bottom