Nimevunja uchumba wa watu

Nimevunja uchumba wa watu

Hapa siwezi kumlaumu mwanamke, bali nakulaumu wewe. Jamaa acha nikuite mjinga, tena wa grade ya juu. Hiko ndiyo ulichokuwa unataka kuona kinatokea, na si kwamba ulifanya bahati mbaya.

Ulishaambiwa ana mchumba toka mwanzo, amekuwekea ngumu na hadi amekutajia mchumba wake ni nani. Kama alifikia huku uliendelea kukomalia ili iweje? Kama si kumvurugia.

Sote tunajua mwanamke ana moyo wenye udhaifu, ukiendelea kumsumbua hulainika. Na ndiyo ulikifanya hiko, kusudi umpindue jamaa. Ila ukweli huyo binti hakupendi, hata huko kuja kwake. Inaonekana wazi wewe ndiyo king'ang'anizi, kakubali kishingo upande tu.

Usitegemee utakuja kuwa na furaha naye, wakati uliivunja furaha yake. Jiandae huyo aliyevunja uchumba, kuwa mchepuko wake kama ukimuoa. Ili ulipie ujinga wako
 
Huyu nishamwambia hawez kumuoa huyo bint na hata akimuoa hawatadumu
 
Huyu jamaa alishakosea la msingi amtafute mwanaume! Maana akienda kwa bint watamuona boya sana maana hafahamik huko kama jamaa na hawatampenda maana katia familia doa
Anachotakiwa kufanya ni kuongea na mwanaume mwenzie, amuunganishe na binti kisha achape lapa.

Akifanya hivyo, familia zote mbili zitamheshimu mno.

Akatafute wa kwake, wanawake wengi hivi halafu anakuja kushiriki dhambi ya kutenganisha wachumba kwa makusudi
 
Huyu nishamwambia hawez kumuoa huyo bint na hata akimuoa hawatadumu
Huenda ikawa Ni couple ya kuigwa.

Mi naona huyu alikuwa na upendo wa kweli....upendo usio sababu eti mchumba wa mtu...moyo hauchagui kwa kupenda ...unaweza penda hata kwa mume au mke wa mtu au hata padre...ha ha ha ha ukiona unachagua ujue sio Pendo la kweli Bali la kulitaka
 
Mungu hawez kupa mke wa mtu bana
 
Mkuu mbona roho ya mauti imekutawala sana
Utauwawa kweli,unaonyesha hujielewi kabisa mkuu,hata sijui una umri gani,yani ningekuwa mimi majirani wangeshitukia harufu ya mizoga chumbani,umeji risk sana maisha yako,huyo jamaa anakulia timing tu,atakumaliza, its not easy game, something bad will happen ,mark my word!.
 
Una akili ila akitak afe amuoe huyo bint
 
Tunapoelekea na mm ntamtelekeza huyu binti
Wewe umeshikwa akili... Unaendeshwa na hisia(Blinded by Love) na sio kutumia akili yako.

Yaani kabisa unaenda kuoa hiyo takataka?

Kama aliweza kumsaliti mchumba wake tena aliyemtolea mahari, atashindwa nini kukusaliti na wewe the same way?

Huyo mwanamke ni takataka kama zilivyo takataka nyingine tu.
 
Mwanamke ananipenda sina wasi. Mda wote yupo kwenye double stand kwamba atafanyaje na yy ni mchumba wa mtu. Hatukuwa na majibu hadi limetokea hili
May be its the blessing in disguise
 
Itakugharimu wewe na uzao wako, asilimia 99 ya matatizo yanayowakumba wanadamu na uzao wake ni ya kujitakia.
Kwahiyo unataka kuniambia matatizo yanayonikumba saivi yanaweza kuwa ni sababu ya babu yangu??
 
Ukifika huko sisi wapenda ubuyu tunaomba uendelee kutusimulia part II ya hii stori...
 
Muombe jamaa radhi, Mwambie nothing ever happened! Pia ifahamike, the bride is weak!
 
Back
Top Bottom