Nimevunja uchumba wa watu

Nimevunja uchumba wa watu

Mama Yako kakupa uamuzi mzuri sana..!! Yani kausha mkuu usijidai kiherehere.. Mama anajua tabia na hulka za wanawakee.. Hakuna namna
 
Kuwa makini na hawa watu wanaoitwa mama zetu inapokuja suala la mapenzi, Ikiwezekana chunguza vizuri historia ya mapenzi yake ya nyuma haswa huyo aiyejitosa kulipa mahari, isije ikawa na yeye alivunja mahusiano serious ya mtu kumpata. Usiruhusu pride ikakufanya ukajiona kuwa wewe ni mwanaume zaidi ya wote waliowahi kuwa na mwanamke wako kabla yako. Nakwambia hivi kwa sababu kma mwanamke alifika hatua ya kukubali kulipiwa mahari na sababu kuu ya kukubali kuvunja mahusiano ni wewe na si nyingine nzito, basi huyo ni mwanamke dhaifu na usibweteke hata ukioa maana kama a=b na b=c basi a=c, uwezekano wa kupata sababu ya kukusaliti huko mbeleni upo kama alivyopata sababu ya kumsaliti huyu wa sasa ambaye alimwaminisha anampenda hadi jamaa kutoa mahari. Ila lisilojulikana ni usiku wa giza, naamini yapo mengi tusiyoyajua yanayokufanya na wewe uchukue risk hiyo. kila la heri.

NB: Kama kuna uwezekano wa kumake peace na x-fiance, fanya hivyo. Huwezi jua analoliwaza moyoni mwake. Na kama mtafunga ndoa pia huwezi jua atawaza nini juu ya hatua yenu.
Asante sana boss
 
HUYO MWANAMKE HANA AKILI, YANI PAMOJA NA KUTOLEWA MAHARI BADO ANAFANYA UPUUZI HIVYO? HATA MIMI NISINGEENDELEA NAE. ATAVUNA ALICHOPANDA
 
Hapa ndo sijui. Ila nimeshauriwa na wengi kuwa nisiende
uende ukiwa unajua unaenda kufanya nn usiende kama poyoyo..kule umeutwa kuulizwa unampango gani na huyo binti..if ww ni mwanaune ungemuoa ww na si kwenda huko kupiga stori
 
sijawah kuona jamaa mpuuz kama wewe, ukienda kubakwa huko ? Umeharibu mipango ya watu alafu unataka kwenda kuongea nao? wakikudhuru ? we huna makosa mwenye makosa ni binti, You guys mbona mpo soft ivyo sikuiz ? mkitekwa mtasemaje ??
 
Sawa boss
uende ukiwa unajua unaenda kufanya nn usiende kama poyoyo..kule umeutwa kuulizwa unampango gani na huyo binti..if ww ni mwanaune ungemuoa ww na si kwenda huko kupiga stori
 
sijawah kuona jamaa mpuuz kama wewe, ukienda kubakwa huko ? Umeharibu mipango ya watu alafu unataka kwenda kuongea nao? wakikudhuru ? we huna makosa mwenye makosa ni binti, You guys mbona mpo soft ivyo sikuiz ? mkitekwa mtasemaje ??
yani imenibidi nicheke tuu
 
Ni kweli bro sasa tutafanyaje

We nenda, kaombe msamaha, wala usimlaumu huyo mwanamke, beba dhambi, okoa ndoa ya watu,ni aibu sana kwa wazazi kudaiwa mahari kwa sababu ya aibu ya binti yao.....

Malalamiko ya hao wazazi ndugu yangu yatakupa shida sana sana, hakikisha wanarudiana aisee.... sioni ubaya ya huyo mwanamke, wengi wanakosea na anaweza kuwa mtu mzuri tu sana.....
 
yani imenibidi nicheke tuu

Wewe huna kosa mwanamke angekuwa anampenda jamaake asingekukubali kirahis hivyo, sasa huko ukienda kukutana na kosi lakukidhuru utafanyaje ? unaenda mwenyewe ? Alafu kitu kingine mnaenda kudiscuss nini ? mnaenda kuongelea namna wewe ulivyokuwa unamwibia jamaa mchumba ake mpaka akakukuta kwake ? Haya tuseme umefika wakakuomba umwachie jamaa mwanamke wake utafanyaje ? wewe vaa viatu vya jamaa na jamaa awe wewe, UNGEENDA ?
 
Back
Top Bottom