Nimevunja uchumba wa watu

Nimevunja uchumba wa watu

Mkuu, jamaa alitoa mahari 1.5 ilikuwa bado 500k. Sidhani kama familia itashindwa kulipa hiyo mahari kama watafikia huko. Lakini nipo tayari kuoa
sasa ukienda unaenda kubadili nini? Kilio cha mzazi ni kwamba HANA pesa ya kurudisha kwa mkwe mtarajiwa. Maadam ushajinasibu kuwa pesa unazo waulize tu ni sh ngapi walilipwa, umalize
 
Mwanamke ananipenda sina wasi. Mda wote yupo kwenye double stand kwamba atafanyaje na yy ni mchumba wa mtu. Hatukuwa na majibu hadi limetokea hili
Aaha kama utamuoa wewe sawa.. Ila sasa una uhakika demu anakupenda kweli na yupo tayari umuoe??? Maana mkuu usije kumuoa sababu tu kaachwa na jamaa ake maana jama akirudisha majeshi aisee utakuja unalia hapaa...Atamlaaa anavyotakaa
 
Inavyoonekana huyo mwanamke alipewa onyo juu yako na alipokushirikisha haukutilia maanani, maana inaonekana anakujuwa vizuri na ukute ulipofika majirani walimpa taarifa hivyo alikuja akiwa tayari ana maamuzi, yaani ndugu zake kumtuliza inakuwa ngumu.

Kibaya utakuta umeoa na haukuwa na nia ya kumuoa, kama unamuona ni mwanamke anayekufaa haupaswi urudi nyuma kama ambavyo ulifanya alipokupa onyo juu ya kuwa na mahusiano lakini haukupunguza mapenzi kwake.

Mapenzi yale yale uliyokuwa nayo ndiyo unapaswa uyaoneshe kwake...

Kwa ushauri wangu kubali kwenda ila usiende leo subiri kidogo papoe, naamini kwasasa labda ndugu wakawa na jazba zaidi.

Utakuta jamaa alikuwa anamtafutia sababu namna ya kumuacha sababu ameipata tena amekukabidhi wewe, lawama hapati tena na mahari akipewa anaanzisha biashara.
 
Asante mkuu. Bado nampenda mwanamke. Kwa namna yake amejotoa kwangu. Ku risk uchumba wake kwa ajili. Yangu. Sina shaka juu ya huu upendo wake
Kibaya utakuta umeoa na haukuwa na nia ya kumuoa, kama unamuona ni mwanamke anayekufaa haupaswi urudi nyuma kama ambavyo ulifanya alipokupa onyo juu ya kuwa na mahusiano lakini haukupunguza mapenzi kwake.

Mapenzi yale yale uliyokuwa nayo ndiyo unapaswa uyaoneshe kwake...

Kwa ushauri wangu kubali kwenda ila usiende leo subiri kidogo papoe, naamini kwasasa labda ndugu wakawa na jazba zaidi.

Utakuta jamaa alikuwa anamtafutia sababu namna ya kumuacha sababu ameipata tena amekukabidhi wewe, lawama hapati tena na mahari akipewa anaanzisha biashara.
 
Habari za eid
Kuna binti niponae kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa toka mwaka huu uanze. Nimekuwa nikimpenda sana kiasi cha kujitoa sana kifedha na ki hali kwa muda wote huu.
Lakini binti amekuwa akinisisitiza kuwa yeye ni mchumba wa jamaa fulani na wanasubiri ndoa tuu. Hiyo hali haikunirudisha nyuma kwa mapenzi niliyokuwa nayo kwake.
Juzi jioni Baada ya kutoka kutafuta Ugali wa watoto nikampigia bint kuwa niende kwake au yeye aje kwangu. Binti akasema niende. Basi bila kusita nilifunga safari nikaenda. Tukawa kwake akapika tukala
Hamad mida ya saa4 mlango ukagongwa. Sikuwa na wasiwasi kumbe ni mchumba wake. jamaa akaingia ndani akanikuta nimekaa kwenye sofa, jamaa akaniangalia akaniuliza hivi bado unaendelea na mchumba wangu?? Mm nikawa kimya jamaa akaingia chumbani kwa mwanamke akabeba vitu vyake na kuondoka. Mm nikabaki na yule mwanamke.
Amelia usiku kucha na kunitupia mm izo lawama. Asubuhi jana jamaa ameambatana na mshenga wake wameenda nyumbani kwa akina Binti kudai mahari. Ndugu wa mwanamke wameomba jamaa na mshenga waende Jumamosi ili kikao cha familia kilichopokea mahari kikutane. Baba na mama ya binti wameshindwa kumtuliza jamaa ili wayamalize. Jana jioni nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mzazi wa binti, niliongea nae aiwa analia sana. Nimeomba leo niende nyumbani kwa akina binti nikawasikilize wazazi wake.
Nimemuuliza binti kuwa niende kwao au nisiende binti hataki kusema. Nikampigia dada ake binti kuwa vipi niende kwao?? Dada yake akasema niende.
Hapa nilipo najiaandaa kwenda. Ni mkoa jirani. Ni mwendo wa masaa 4 tu ntakuwa nimefika.
Ila mtu kama hakupendi kwa nini akuite kwake? Mwenye kosa ni huyo mwanaume, ukute haeleweki na wewe unaelewaka sema ni Mume wa Mtu, kama dini inaruhusu muoe na yeye, ila huyo mwanaume aache kususa susa kama binti
 
Nenda, kosa ulilofanya ni kubwa sana na usipolirekebisha itakucost maisha yako yote. Ushauri wangu, nenda, toa mahati na muoe huyo binti. Usipomuoa utajutia maisha yako yote.
Mkuu nipo tayari kwa kila kitu kuhakikisha familia yao inapata amani na binti anapata heshima niliyoipoteza
 
Ngumu kumeza
Ila mtu kama hakupendi kwa nini akuite kwake? Mwenye kosa ni huyo mwanaume, ukute haueleweki na wewe unaelewaka sema ni Mume wa Mtu, kama dini inaruhusu muoe na yeye, ila huyo mwanaume aache kususa susa kama binti
 
Back
Top Bottom