Nimevunja uchumba wa watu

Nimevunja uchumba wa watu

Sasa nifanyeje man
Sikia huyo demu anakuwa Njia panda sababu still anampenda jamaa na roho inamsuta sana.. So hapo wewe hata kwao usiendee kata mawasiliano na huyo binti mkuu wewe ndo unaweza msaidia mwanaume mwenzako maana maumivu anayopitia hata asipopanga kukufanyi jambo baya bhasi hakika Karma yupo..!! Jitahdi umpotezee huyo demu ataumia lakini na uhakika watakaa watayaonge yataisha hasa kama jamaa alikukuta tu umekaa sebuleni..
 
mkuu kuna kitu unakitafuta, kama mzazi wa bint amelia, bint amelia kinachofata ni wewe kulia.... huo ni mtego na ogopa sana kuingilia maisha ya watu... ukitegwa kidogo tu unategeka kuwa makini.
Inamaana huyo mwanamke mwenyewe hajielewi au??au yeye ni mdoli hana maamuzi,why anajua kachumbiwa asingetulia...mwanamke ndo mpuuzi hapo.
 
Tunapoelekea na mm ntamtelekeza huyu binti
Kufanya hivyo si kulitibu tatizo na ikiwa utafanya hivyo subiri na wewe uje umwachie mtu kama ulivyoachiwa wewe, japo naamini sasa atakuwa amejifunza haitakuwa rahisi kurudia lile lile.

Kwasasa usiende kwao binti na badala yake naye mpe muda kidogo yaani ukimjulia hali usimtumie tumie msg saa zote na kumpigia kutwa bali mpe muda apumzishe akili zake, baada ya hapo mfate zungumza nae na majibu yake ndiyo yatakupa nguvu siku ukienda kwao manake uende ikiwa utaitaji kumuoa.
 
Inamaana huyo mwanamke mwenyewe hajielewi au??au yeye ni mdoli hana maamuzi,why anajua kachumbiwa asingetulia...mwanamke ndo mpuuzi hapo.
Wanawake achana nao mkuu...!! Kuwa na wanaume wengi hadi pale anapokaribia kuolewa kawaidaa sana..So anachofanya ni kuchagua ilaa hapa huyu kazingua sana mpaka anamuita jamaa kwake duu
 
Ila huyo msichana naye hana akili alikuwa anatamaa kabisa maana kama unakaribia kuolewa na mtu siutulie ??
Umekosa nini ??.
Kama hukuwa na uwakika naye siungemwambia akaoe pengine huyo sio binti huyo nikilaza kwa sababu if kama ni binti asingepigwa miti na watu mfululizo hicho nikibibi huko kumezeeka .
Pamechokeana.
Nahuyo jamaa kamchoka huyo malaya .
Ndio maana kaja kuchukua vitu vyake .
Hapa kunajirani kaolewa ni mke wapili ila anajiheshimu nakujitambua kuwa ni mke wa mtu sio kilaza??
Sasa watu huoa malimbukeni halafu mwishoni wanakuja kuliaga huku tuwasaidie kumbe alipenda papuchi.
 
Tunapoelekea na mm ntamtelekeza huyu binti
Huwenda ukajiweka pabaya zaidi hasa pale binti asipoolewa na kubaki nyumbani kisha wewe ukaoa sehemu nyingine na wakuone ukiwa na furaha na familia yako huku binti yao yupo nyumbani, kumbuka hayupo mzazi aliye tayari binti yake kuzeeka akiwa nyumbani hiyo inaonesha alishindwa kumlea katika maadili mema.

Huku kila mmoja anasema lake ila haitokuwa sababu ya wewe kushindwa kufata maamuzi yako, unayo bado nafasi kwake na kwako wewe jiandae kwa lolote maana inategemea busara za huyo jamaa ila kama ni mtu wa visasi hata ukija kumuoa mwingine atafanya aliwezalo akulize nawewe.
 
Habari za eid

Kuna binti niponae kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa toka mwaka huu uanze. Nimekuwa nikimpenda sana kiasi cha kujitoa sana kifedha na ki hali kwa muda wote huu.

Lakini binti amekuwa akinisisitiza kuwa yeye ni mchumba wa jamaa fulani na wanasubiri ndoa tuu. Hiyo hali haikunirudisha nyuma kwa mapenzi niliyokuwa nayo kwake.

Juzi jioni Baada ya kutoka kutafuta Ugali wa watoto nikampigia bint kuwa niende kwake au yeye aje kwangu. Binti akasema niende. Basi bila kusita nilifunga safari nikaenda. Tukawa kwake akapika tukala

Hamad mida ya saa4 mlango ukagongwa. Sikuwa na wasiwasi kumbe ni mchumba wake. jamaa akaingia ndani akanikuta nimekaa kwenye sofa, jamaa akaniangalia akaniuliza hivi bado unaendelea na mchumba wangu?? Mm nikawa kimya jamaa akaingia chumbani kwa mwanamke akabeba vitu vyake na kuondoka. Mm nikabaki na yule mwanamke.


Amelia usiku kucha na kunitupia mm izo lawama. Asubuhi jana jamaa ameambatana na mshenga wake wameenda nyumbani kwa akina Binti kudai mahari. Ndugu wa mwanamke wameomba jamaa na mshenga waende Jumamosi ili kikao cha familia kilichopokea mahari kikutane. Baba na mama ya binti wameshindwa kumtuliza jamaa ili wayamalize. Jana jioni nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mzazi wa binti, niliongea nae aiwa analia sana. Nimeomba leo niende nyumbani kwa akina binti nikawasikilize wazazi wake.

Nimemuuliza binti kuwa niende kwao au nisiende binti hataki kusema. Nikampigia dada ake binti kuwa vipi niende kwao?? Dada yake akasema niende.

Hapa nilipo najiaandaa kwenda. Ni mkoa jirani. Ni mwendo wa masaa 4 tu ntakuwa nimefika.

Sifa ya mwanaume wa kweli ni kujua udhaifu wa wanawake na kuwaongoza vyema huku akikwepa laana za kipumbavu.....

Wewe umetumia pesa zako, na udhaifu wa mwanamke kama sababu ya wewe kumfanyia hiyana mwanamme mwezako....

Karma is a bitch, utapia kwenye the same road, kama hauamini keep haya maneno.....
 
Sifa ya mwanaume wa kweli ni kujua udhaifu wa wanawake na kuwaongoza vyema huku akikwepa laana za kipumbavu.....

Wewe umetumia pesa zako, na udhaifu wa mwanamke kama sababu ya wewe kumfanyia hiyana mwanamme mwezako....

Karma is a bitch, utapia kwenye the same road, kama hauamini keep haya maneno.....
Tena kwa demu huyu huyuu...
 
Back
Top Bottom