Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Ndio maana huku tumekuwa siku hizi hakuna msimamo unakuwa nawengi kinga iwepo ukiitwa malaya na hakuvishi anakupunguzia nini.
Ishi ukiwa free naukitaka maisha siku zote kuwa na mchumba na girllover na hao wote huwaonyeshi unamwingine unacheza michezo kiakili mpaka unampata mmoja unaoa nimesalitiwa sana mpaka sasa nipo tu.
Kuhusu mapenzi wai .
Nikifumania kama hueleweki tupa huko delete mesage picha zake naanza upya yaani naomba Mungu tu jamani nipate hela niwachezee tu naniolewe kwingine.
 
aiseh imenibidi nirudie mara ya tatu kusoma #kweli hivi viumbe siyo vya mchezo
 
Mnyakipua kuna msemo mmoja wa kiswahili unasema hivi UKIMCHUNGUZA SANA BATA HUMLI. Ugaidi kama huu haujaanza leo, kwa sababu sijakwambia yangu utahisi nakusanifu. Kila kitu kinatokea kwa sababu, majaribu hayazuiliki hilo ni jaribu lako shukuru Mungu, Anza safari mpya. Wengine tulishavalishwa pete ya mchumba hujakaa sawa ndoa imefungwa na mtu tofauti. Wanaume watakuwa wanaume, wanawake watakuwa wanawake. Mungu atabaki kuwa Mungu. Sepesha life liendelee.

Nakudedicate kitabu cha SHERYL SANDBERG "OPTION B" Facing adversity, building resilience and finding Joy.

Sorry i didn't mean to offend you!
Pole nawe hii kitu nilishawahi kutana nayo mm ke ila yalishapita , hapo mhanga kakuelewa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Being in relationship for 3 good years,mnafikia hatua njema kabisa then unakutana na haya madudu,halafu baadaye utashangaa nayeye ni miongoni mwa wanaolalamika kuwa wanaume wamekuwa waongo sana!!!
Bora umeyaona mapema hapo tayari mke na mme na watoto kabisa, mungu kaamua kukutadhalisha mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waswahili walisema ukubwa wa pua si wingi wa ka....si , gobole lenyewe ukilifyatua vibaya linakudondosha
Aliyekwambia ukiwa na mb.o.o ndefu na nene ndo kumridhisha mwanamke ni nani?...wanawake hawana formula ndugu...mshikaj wangu ana mguu wa mtoto kabsa lkn demu wake alichepuka kwa kibamia ,cha msingi ni jinsi gani unaweza ukatumia hlo gobole lako, unaweza ukawa na kubwa lkn ushindwe kulitumia na mwenye kibamia akawa anajua kukitumia na mwanamke akaridhika kabsa...so take care

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana.
Wanwake siku izi wanatoa sana ayo mambo.
Nimewahi wakuta wasichana wa2 chini ya miaka 23 wameziweka wenye sim zao.
Alafu wakawa wanacheka tu.
Sijui shida ni nn nashindwa elewa.
Ukijiroga kutania kuombaa tu uko imo.
Ila pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AISEE WALE MNAOJIFANY AGOOD BOYA MNA MOJA TU MMEWEKA MOYO HAPO POLENI..I WAS ONCE GOOD NOW AM NOT,...WE WAONEENI HUTUMA TU MATOKEO NDIO HAYO...HAINGII AKILINI UKO NAE UNA FUTURE NAYE NA UKO NAYE AKILI YAKE KWENYE SIMU..MEANS KWAKO ANAZUGA ILA ANATAKA SECURITY TU KUWA KAOLEWA ILA ANAMWEGWA TIGO NA BODA...HAKAFU KUJIFUNGUA WE NDIO UTUKANWE KUWA UMEMUHARIBU MKE WAKO NA SI AJABU ATAKUSINGIZIA KABISA WEWE....KWA VITU KAMA HIVI NDIO NAZIDI KUVUTA MUDA NA KUWA NA ANGALAU WENGI KUWACHUNGUZA ZAIDI.....
 
Back
Top Bottom