Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Pole sana mkuu,nimehisi huzuni sana mapenzi bhana hayana formula
Ukipenda unatendwa,usipopenda unapendwa
Watulivu wanapata vicheche,vicheche wanapata watulivu huwa najiuliza sipati jibu

All in all Mungu yupo ipo siku utampata wa kufanana nawe na hii itabaki historia tu.

Usibadilike kwa lililo kukuta bali ujifunze kupitia hilo
Limekupata ili ujue uchungu wa usaliti ambao ukimpata aliyesahihi usimsaliti maana maumivu tayari unayajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana,naamini Mungu yupo upande wangu,yatapita!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu,Siku uzote mwisho wa ubaya aibu
Mungu anafichua hata yaliyo sirini chamuhimu tumshauri ndg yetu asibadili tabia akaanza kuwa muhuni
Asije akajuta baadaye
Daaah inauma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli inabidi atulize akili kwasasa maana ni rahisi sana kwa mtu kufanya maamuzi yasiyosahihi anapokua na hasira sana au akiwa amefurahi sana, alafu baadae anaanza kujiuliza "iv ni Mimi niliyefanya hivi? ". bado mda upo atapata tu wa kufanana na yeye.
 
Nawaona wenzie na M hapa wakichangia....
Yani ni Watakatifu kabisa wasio na hatia yoyote, na looks like Wameumizwa kweli na kile mwenzao M alichofanya, mpaka wengine wanamwita M majina ya Wanyama.......
Kuuumbeee.....!
Weka mbali kabisa na Watoto!!!
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Aisee pole sana kwani dunia ndivyo ilivyo kuna mengi ya kujifunza mpaka umauti wetu
Jipe moyo na moyo wa subira kwani Mungu mpaji wa vyote atakujalia mke mtakaye endana kifikra na akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshakufahamu Mkuu wangu na ishu nzima naijua.

Pole sana mkuu...ila ukae ukijua huyo dada alifunzwa hayo na dada yake kabisa.

Na hata wewe ulishaambiwa mengi kuhusu huyu dada na ukawa okay tu.

Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutwa unashabikia chadema unategemea nini?

Ni kugongewa tu kwa kwenda mbele
mimi nagonga mke wa diwani wa ccm ambaye ni mwenyekiti wa halmashaur nimtaje hapa? kuna mahusiano kati ya kilichoandikwa na chama kweli? una akili ndogo sana mkuu hata huko kugonga wewe ni wale wazee wa buster/viagra
 
Kwa ulivyojieleza ,fyekea mbali uchumba , Mungu kakuonyesha mapema . Inauma eti watu wale chakula nami kazi yangu ni kuosha vyombo !
 
Fanya subira utaletewa anaekufaa.
Pia ukishaoa huyo utaeletewa muda ukifika, jitahidi usiwahusije boda, wala bajaji kuja nyumbani.
BODA BODA HAWAJAWAHI KUIACHA FAMILIA SALAMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom