Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Hafai huyo,piga chini hakuna mjadala
 
Mwalimu wa wanaume ni mjinga kupita wajinga wote duniani. Nani alikwambia mwanamke anahudumiwa kuliko wazazi waliomĺeta duniani? Nani alikufundisha kushika simu ya mwenzio bila ridhaa yake? Enjoy..
 
Mkuu, hawa wanyama wanafanana. Nenda umiza na wewe wengine. Wafireeee tu.
 
Sawa,hongereni nyinyi na mwalimu wenu anayewafundisha kuwa kuwasaliti wachumba wenu tena kwa kutiwa nyuma ndiyo namna bora ya kuwafanya kuwa bora katika familia zenu!

Nakushukuru pia kwa kunitahadharisha juu ya kumsaidia mchumba,lakini kwa binadamu tulivyo,si ajabu leo tu umetoka kumuomba mpenzi wako pesa ya kusukia,au ya pango!

Umeniumiza,japo ninakushukuru pia kwa uhuru wako wa mawazo!!
 
Siwezi kulipiza kwa wengine,Nina imani kubwa kuwa kila unachopanda utavuna!

Kwa hiyo ni swala la wakati tu,atavuna anayoyapanda!
 
Mwalimu wa wanaume ni mjinga kupita wajinga wote duniani. Nani alikwambia mwanamke anahudumiwa kuliko wazazi waliomĺeta duniani? Nani alikufundisha kushika simu ya mwenzio bila ridhaa yake? Enjoy..
Ungesoma kwa utulivu sana,usingesema maneno haya yaliyojaa kejeli,omba Mungu usikutane na maswahibu ya mambo haya,utasimulia mpaka miti isiyo na masikio!
 
Nishasema na narudia tena " Innocent and royal men normally get hostile feedback in relationship " they are the ones who care the most and get hurt the worst....
Demu anahonga pesa yako,analiwa mtaro daaaaah......
Wanaume bora endeleeni kuwa waaminifu tu na hakika mtalizwa sana na hawa wadada wa kileo.
 
Kuna jamaa nae humu kaeleza kisa kama chako cha mchumba/mkewe kuliwa na bodaboda labda ni wewe........!!
 
Hapo ni kukupa pole tu mkuu, najaribu kuyavaa maumivu uliyobeba uvumilivu unanishinda ...
 
pole sana aisee,
Mungu na akutetee
ila wanawake wengine jamani mhh!
 
Sawa,hongereni nyinyi na mwalimu wenu anayewafundisha kuwa kuwasaliti wachumba wenu tena kwa kutiwa nyuma ndiyo namna bora ya kuwafanya kuwa bora katika familia zenu!

Nakushukuru pia kwa kunitahadharisha juu ya kumsaidia mchumba,lakini kwa binadamu tulivyo,si ajabu leo tu umetoka kumuomba mpenzi wako pesa ya kusukia,au ya pango!

Umeniumiza,japo ninakushukuru pia kwa uhuru wako wa mawazo!!

Mnyakipua kuna msemo mmoja wa kiswahili unasema hivi UKIMCHUNGUZA SANA BATA HUMLI. Ugaidi kama huu haujaanza leo, kwa sababu sijakwambia yangu utahisi nakusanifu. Kila kitu kinatokea kwa sababu, majaribu hayazuiliki hilo ni jaribu lako shukuru Mungu, Anza safari mpya. Wengine tulishavalishwa pete ya mchumba hujakaa sawa ndoa imefungwa na mtu tofauti. Wanaume watakuwa wanaume, wanawake watakuwa wanawake. Mungu atabaki kuwa Mungu. Sepesha life liendelee.

Nakudedicate kitabu cha SHERYL SANDBERG "OPTION B" Facing adversity, building resilience and finding Joy.

Sorry i didn't mean to offend you!
 
Back
Top Bottom