The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,410
Ungemwambia, "ukitaka kujiua, niambie unataka sumu gani, maana hakya nan tena, nitakununulia"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani ili asipate shida kuifuata dukaniUngemwambia, "ukitaka kujiua, niambie unataka sumu gani, maana hakya nan tena, nitakununulia"
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshakufahamu Mkuu wangu na ishu nzima naijua.
Pole sana mkuu...ila ukae ukijua huyo dada alifunzwa hayo na dada yake kabisa.
Na hata wewe ulishaambiwa mengi kuhusu huyu dada na ukawa okay tu.
Pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ukiwa pekeyako lia hata kama hakuna machozi, ili hilo donge hapo kooni litoke,Bahati mbaya huwa sijui kulia,hata ningeumiaje machozi hayatoki,lakini ahsante kwa kushauri!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
What was meant to be will be.
What was not meant to be yours will not reach even if it made its way between your teeth.
Take a deep breath honey.
And be grateful to God.
Aisee yaweke tu mdogo wake giLESI mtikisikoooooHaya maneno yako nayaweka kwenye status dadake giLESI
shule gani ulisoma nimpeleke auntie yako..Aisee yaweke tu mdogo wake giLESI mtikisikooooo
shule gani ulisoma nimpeleke auntie yako..
Nilisoma basi rafikiiii.
Miyeyusho tu.
Pole sana broMimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!
Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)
Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?
To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!
Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!
Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!
Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!
Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!
Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!
La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!
Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!
Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"
Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!
Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
sana mkuuMimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Wacheni zenu wapo bhana..Humpati ng'o! Labda ujioe mwenyewe.
Kwa dunia ya leo utqmpata nani ambaye atakupa kipapa wewe peke yako? Siku hizi tunashika huku tangu tunachumbiwa, mpaka tu
Mbona unanizibia rizki mi ndo nilitaka kukaa, tunaojiheshimu hatupati wanaumeMmm makubwa pole sana, wala usitafute mwingine haraka tuliza kichwa kwanza utaangukia pua tena
Story gani nyingine nimeileta hapa!?
Umenena kweli kabisa!!!Sisi wanawake tunatabu Sana! Yatupasa kubadilika...tunajidharaulisha kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana!!!Mkuu hao viumbe ni hatar sana mm mwenyewe wamenijeruhi sana na ndio mana nikaja na uzi hum kuomba ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app