Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Ahsante kwa kunitia moyo ndugu naisubiri hiyo deadline nikashiriki msiba!

Inaniuma sana,japo kifo chake si jambo jema kwangu,lakini kumsamehe na kumrudia hapana,na kama matokeo ya kutomrudia ni kifo basi,na afe tu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sizan hata anamaanisha kujiua mnafiki tu. Yan amefanya uchafu wote huo bado anakuja kukwambia eti wewe ndo maisha yake.
Wanawake wengine bana cjui vichwa vyao vinanini.

We endelea kumkazia na subiri huyo deadline line yake uone. Huenda ndo tar waliyoahidiana na huyo jamaake wanapelekana kuoana mbali na hapo mlipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu ila hawa viumbe sijui huwa wanataka nini.
Yan mwanamke anajua kabsa ni jinsi gani unajitoa kwako unafanya kila uliwezalo kwa ajili yako lakin bado anakuona we kama boya tu.
Wewe unajitahd kutunza thaman ya penzi lenu yeye anaenda kugawa uroda kwa bodaboda.
Kikubwa mkuu kabla ya yote nenda kwanza kacheki afya yako maana bodaboda wengine siyo kabisa hadi inafika hatua mchumba wako anafundishwa mchezo mchafu kama huo inauma sana.
Mwache aendelee na bodaboda wake hakufai kabsa mkuu huyo.
Kama inafika stage upo nae mnapanga future yenu lakin mwezio mawazo yako kwa bodaboda hakika humo hakuna mwanamke.
Jipe mda kutafta mwingine huyo hakufai
Tatizo sisi wanaume huwa tuna chukulia chiu wa mwanamke kama kitu cha ajabu sana " kiasi kwamba ikitokea akakutunuku basi akili inahama na kupagawa juu yake mbaya zaidi sasa tunasahau kuwa kile kiungo ni chake kipo mwilini mwake. Anaweza kumpa yeyote yule anaye jisikia wakati/saa na dakika yoyote ile .....

Kama wanaume wengi tungekuwa tuna litambua hili hata tusingekuwa tuna umizwa vichwa na hawa dada zetu ... yaani unakuta mtu kisa kapewa papuchi tu basii akili inamuhama kama " ameshida mamilion ya 3mzuka " bwana mapenzi ni suala la hiyari ya mtu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sizan hata anamaanisha kujiua mnafiki tu. Yan amefanya uchafu wote huo bado anakuja kukwambia eti wewe ndo maisha yake.
Wanawake wengine bana cjui vichwa vyao vinanini.

We endelea kumkazia na subiri huyo deadline line yake uone. Huenda ndo tar waliyoahidiana na huyo jamaake wanapelekana kuoana mbali na hapo mlipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kurudi nyuma mkuu,nimeamua haswa!
Nitakuwa tayari kusikia kifo chake (akiamua kujiua) lakini sio kurudiana naye,SIWEZI!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni asubuhi na sana nineamka nikijaribu kuyatafakari upya maisha niyaendeayo,na namna gani napaswa kuishi kwa sasa!

Nachukua simu yangu,nakutana na ujumbe huu,kutoka kwa huyu mwanamke;

Nashikwa na hasira zaidi,nimenyamaza pasipo kujibu chochote!

Kuna maeneo nimefuta kwa sababu ametaja majina,ambayo sijataka kuyaweka bayana!

Dunia dunia dunia!!!!!View attachment 979260View attachment 979261

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungemjibu tu ungeharibu kila kitu... Piga kimyaaaa... Tena hizo text futa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntaweka komenti yangu kwa kifupi sana.Maisha yana ''codes'',leo ntakupatia code moja tu kukuonyesha wazi haukuwa na mtu sahihi. Mwanamke anayetafunwa mtaro na itampasa apate mwanaume mtafunaji wa mtaro awe mumewe''. Sasa wewe si mtafunaji na ni mtu mwaminifu(kulingana na post yako) kwanini usimshukuru Mungu kwa kuonesha wazi kuwa huyo si mwanamke wa code yako?wewe code yako itafute ukiipata mtaswitch.

Na maisha lazima yaendelee!
 
Ni story ndefu mkuu. But kiufupi..tulishajitambulisha nilikuwa kwenye mchakato wa mahar.. lakin sasa wkt huo nilikuwa namaliza chuo.. gafla mwenzangu tabia zikabadilika.. huku akiomba tuachane.
Kuja kuchunguza.. alipewa kibendi na mshkaji wangu wa mtaani, ilikuficha aibu akawa analaximisha tuachane. Kumbe ana mimba ya mwingine. Niliumia sana.. ila nilimuonyesha kwamba nimejua, nikawaambia na ndugu zake. Mpaka leo wakikutana na mm wanainama chini.. hawawez ongea na mm wakiniangalia uson.
Alikufanyaje mkuu?

Dooh lakini kubwa zaidi hapo ni kushukuru Mungu kakuonyesha mapema kabla hujaingia kitanzi...

Haijalishi tumetoka mbali kiasi gani katika mahusiano isipo kua mwisho unavomalizikia ndo inajalisha zaidi...

Hatuchoki kupenda na hatutakoma kuanza mahusiano mpaka pale tutakapokutana na watu wetu sahihi...

Hizi changamoto zingine tunazokutana nazo njiani kuangukia kwa watu wasio sahihi tuchukulie ni darasa la kutuandaa kutupeleka kwa watu wetu sahihi ili tunapowapata tujue thamani yao na kutunza amani ya mahusiano hayo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
[emoji121]
LETE ID YAKO HALISI INAYOTAMBULIKA VEMA HAPA JF KWANZA
KISHA NIKUPE USHAURI WA MAANA WA KUTATUA NA KULIMALIZA TATIZO WITHIN FEW DAYS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu.
Kama vile ninamfahamu huyu Dada,
Nikushauri kitu kimoja, kama anaitwa Mama C...n
Nifuate PM tuyajenge...
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Komaaaa...
maana tukikuuliza ulimpendea nn huyo mwanamke utasema, sura nzur na umbo au makalio makubwa.

But mm nahisi haka ni kastory tu umetutengenezea,,, but shukran wapo waliojifunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine usiwe na demu mmoja mkuu usije kujitoa roho buree
 
Back
Top Bottom