Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Aisee..pole Sanaa mkuu ingekuwa hajafumuliwa marinda ningekushauri njia ya kupita ila kwa hatua hii ya kuliwa tigo mwache atangulie tu kutuandalia makao hakuna namnaa[emoji26]
Kaka, demu wako nilimwambia asinisumbe aheshimu mchumba wake lakini aliendelea. Nina njaa, nikampa alichotaka. Suala la marinda alinionesha picha akaniambia tujaribu. Sikuwa na sababu ya kukataa, nilpiga akanisifu, akanipa na mpunga pia. Sikupenda mchezo wake ila pesa ilinituma. Mengine shauri yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dooh lakini kubwa zaidi hapo ni kushukuru Mungu kakuonyesha mapema kabla hujaingia kitanzi...

Haijalishi tumetoka mbali kiasi gani katika mahusiano isipo kua mwisho unavomalizikia ndo inajalisha zaidi...

Hatuchoki kupenda na hatutakoma kuanza mahusiano mpaka pale tutakapokutana na watu wetu sahihi...

Hizi changamoto zingine tunazokutana nazo njiani kuangukia kwa watu wasio sahihi tuchukulie ni darasa la kutuandaa kutupeleka kwa watu wetu sahihi ili tunapowapata tujue thamani yao na kutunza amani ya mahusiano hayo....

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bodaboda nao ni watu jamni, Acheni wajilambe.(just Joke) . Bt in real sense huyo mwanamke n shetani wala usipoteze mda kujbu text zake. Move forward wanawake wapo wengi wazur God will show you the right way kikubwa saiv unahtaj utulivu kuliko kipindi kingine chote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mpuuzi mmoja alikuwa anahonga pesa zangu, mshenzi sana yule mwanamke. J kama unataka kumuoa huyo mwanamke mchunguze sana ana madudu mengi.
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Pole sana mkuu, njoo kwangu

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Ukome kuchunguza simu za wanawake

Huwez jua kaka, pengine Mungu amekuepusha na vitu ambavyo mbeleni vingeleta madhara

Kumbuka kila Jambo hutokea kwa sababu.
Miaka mitatu si kitu hata kidogo
It doesn't matter how far u came from na uyo dada.watu wanabreak up wamekaa miaka kumi sembuse mitatu(talking from experience)

Wewe mshukuru Mungu na kabla hujaingia kwenye relationship nyngne muombe Mungu
Najua unaumia Sana..lkn Ni wakati wako sasa kuwa jasiri na muombe Mungu akupe amani ya moyo

Hao wanaokushauri uwe na wanawake wengi wanakupoteza...endelea kuwa mwaminifu,Mungu amemuandaa mtu special atakae kuwa wako tu atakaye lingana na wewe..Mungu humpa mtu mke/mume wa kufanana nae ndo maana amekuepusha mapema kwenye Hilo shimo ambalo ungezama
Yuh just keep on waiting.it is just a matter of time..ur perfect match will come..

Keep on touch&wshng u all the best
Najaribu kutafakari sana kwanini malipo yangu yamekuwa haya!!!!

Ahsante sana kwa kunitia moyo,nina imani na Mungu wangu,kuwa furaha bado ipo mbele yangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilo suala la kawaida, msamehe yaishe..... ni ujinga wako kugongewa demu, ulikuwhukazi msuli.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom