Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Mnyakipua kuna msemo mmoja wa kiswahili unasema hivi UKIMCHUNGUZA SANA BATA HUMLI. Ugaidi kama huu haujaanza leo, kwa sababu sijakwambia yangu utahisi nakusanifu. Kila kitu kinatokea kwa sababu, majaribu hayazuiliki hilo ni jaribu lako shukuru Mungu, Anza safari mpya. Wengine tulishavalishwa pete ya mchumba hujakaa sawa ndoa imefungwa na mtu tofauti. Wanaume watakuwa wanaume, wanawake watakuwa wanawake. Mungu atabaki kuwa Mungu. Sepesha life liendelee.

Nakudedicate kitabu cha SHERYL SANDBERG "OPTION B" Facing adversity, building resilience and finding Joy.

Sorry i didn't mean to offend you!
At least kwa hili nimekuelewa!
Katika yoote nadhani ukinipa maelekezo ya wapi nitapata kitabu hicho utakuwa umenisaidia zaidi!
 
Wakikumegea demu wako tafuta wa mnyonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume!
Tafuta wengine uwe unachapa tu...!kumbuka condom bro...
 
Kuna jamaa nae humu kaeleza kisa kama chako cha mchumba/mkewe kuliwa na bodaboda labda ni wewe........!!
Yeah na mimi nimesoma hiyo inaonesha wanawake wengi wanafanya sana uthalit na boda boda na ttzo linaanzia pale kwenye uteja uliopitiliza na boda boda anajiweka karibu kias cha kumtongoza mwanamke
 
Experience ya kishamba sikushauri uifuate! Hawa ndiyo wanafanya mahusiano kuwa magumu siku hizi,watu wanapendana kwa visasi!
Siwezi Hata kidogo,nina imani watu bora bado wapo,nilikuwa very strict, kwa umri wangu wote sijawahi kumuumiza mwanamke,na sitafanya kwa makusudi Hata kidogo!!!
 
Na boda boda wakipewa wanaisugua hasaaa. Nilienda wilaya flani inachangamoto ya usafiri, boda boda wanajitafunia walimu na manesi kilainiiiiii
 
Siwezi kulipiza kwa wengine,Nina imani kubwa kuwa kila unachopanda utavuna!

Kwa hiyo ni swala la wakati tu,atavuna anayoyapanda!
Kumbe ulikipanda, hukumgonga nyuma na hukumgonga kunako.
Hata utakayempata, utagongewa mbele na nyuma kama ndio wasema ulipanda.
 
Siwezi Hata kidogo,nina imani watu bora bado wapo,nilikuwa very strict, kwa umri wangu wote sijawahi kumuumiza mwanamke,na sitafanya kwa makusudi Hata kidogo!!!
Hii kitu wadada wa kisasa na hata wa lizamani wanaipenda sana. Usipoifanya wewe itafanyiwa. The trick ni hautajua kama anafanywa.
alafu nyie wanaume wa kinyakyusa mnachapiwa sana, sijui tatizo liko wapi.
 
Kumbe ulikipanda, hukumgonga nyuma na hukumgonga kunako.
Hata utakayempata, utagongewa mbele na nyuma kama ndio wasema ulipanda.
Unapomfanyia mtu jambo baya utalivuna!
Kwa hiyo kwa aliyoyatenda,atavuna tu!!!
 
Kosa ulilolifanya ni kuchukua simu yake na kuiweka mezani karibu yako.

Kosa zaidi ni pale ulipoiacha simu on. Ulitakiwa baada ya kuichukua uizime na maongezi yaendelee.
hivi wewe ulitaka jamaa aendelee kufanyiwa huu upuuzi hadi lini? au wewe ndio huyo dereva bodaboda huwa sielewi pale mtu akigundua ushenzi wa mwenzake inapoonekana ni kosa
 
Alafu, Kwa hizi nyuzi za JF ....
Niwazi sasa, ktk wanawake 10..... Kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa wanawake 4 .. Kua wanaliwa Tigo.

Maajabu nikwamba, awe kasoma,hajasoma, anakazi, hana BADO KULIWA TIGO KWA MADEMU WASASA NDO HABARI !!


POOR !!!
kwahyo mkuu kwa conclusion yako nikiorodhesha majina 10 ya wanawake wa hapa jf ni kwamba kuna wanne watakuwa wanaliwa tigo
 
Humpati ng'o! Labda ujioe mwenyewe.

Kwa dunia ya leo utqmpata nani ambaye atakupa kipapa wewe peke yako? Siku hizi tunashika huku tangu tunachumbiwa, mpaka tu
wacha kuwasemea wenzako kama wewe ni maharage ya mbeya ujua kuna wanawake wenzako wanaojiheshimu
 
kwahyo mkuu kwa conclusion yako nikiorodhesha majina 10 ya wanawake wa hapa jf ni kwamba kuna wanne watakuwa wanaliwa tigo
Utafiti haupimwi hivyo mkuu,unaweza kupata mmoja kati ya hao kumi kutoka hapa jukwaani,lakini ukienda Buguruni,au sinza au mahala penginepo utakuta kati ya kumi 9 wanajihusisha na hayo mambo ya kijinga!

Nimemsaidia kujibu anaweza kuja kufafanua pia juu ya utafiti wake!
 
Hii ndo shida, unakuwa na demu wako unaacha kuomba tigo kwaajili ya kumuheshimu ukijua kuwa ndo atakuja kuwa mama watoto wako, wanakuja mbwa koko wanaonja tigo mtoto anapata raha mpaka anawahonga badala ya yeye kuhongwa ukija kushtuka umechelewa, kisha liwa tigo mwaka mzima na zaidi. Inawezekana siku nyingine unamgonga anatamani umalize haraka akakunwe tigo maana ushamtia nyege na wewe mwisho wako voda tu.
 
Back
Top Bottom