Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Mkuu kwa mtazamo wangu, mtu asiyependa kukagua simu ya mwenzake ni kwasababu hataki na yake ikaguliwe na ni kwasababu ana mambo ya kuficha.Kama hauna jambo la kuficha, kushika simu ya mwenzio ni kawaida sana.Na ni bora nikague nione kama ana mambo ya pembeni kuliko kutokukagua nikaletewa gonjwa ndani.

tena kwa scenario ya hii issue, ni zaidi ya ulichkisema, kumbuka kuna ile tu kutokutaka kukagua simu na hakuna anything suspicious, ila hapa jamaa keshaona notification imeandikwa baby halabu bado anamshauri kuwa angechukua tu simu akaizima halafu waendelee na maongezi, hakika roho huwa inaniuma sana nnapokutana na washauri kama huyu!!!
 
Aisee wanawake wana nini hawa duu anatatuliwa rinda?? Sasa chief kipindi hata unapiga game hujaona kama nyuma kupo wazi sana maana mwaka anatatuliwa rinda sio mchezo lazima tobo litakua liko serious kidogo.
Linda mbona umejudge sana hiyo ni mbaya kuliko dhambi nyingine, kila dhambi ni mbaya
 
Mkuu sasa hapa unataka tukushauri nini tena, mchangiaji yoyote atakae kwambia uendelee kua na uyo mwanamke atakua mwehu, but all in all not every loss is a loss move on she don't deserve u, ( pia ku cheat normal ) lakini kufumuliwa marinda haisameheki hio
Malinda yana shida gani, mbona mnamind sana hii wakati nyie ndio watatuz
 
Linda mbona umejudge sana hiyo ni mbaya kuliko dhambi nyingine, kila dhambi ni mbaya
Kila dhambi ni mbaya lakini hiyo ya kutatuliwa ni fedheha na aibu sana mkuu huwezi kuendelea kuwa na mwanamke wa aina hiyo. Siku pakilegea akaanza kutoa haja hovyo unadhani watu watasema kuna mtu nje anayetatua?? Hapana lawama zote atakua mmewe ambae hajui lolote.
 
tena kwa scenario ya hii issue, ni zaidi ya ulichkisema, kumbuka kuna ile tu kutokutaka kukagua simu na hakuna anything suspicious, ila hapa jamaa keshaona notification imeandikwa baby halabu bado anamshauri kuwa angechukua tu simu akaizima halafu waendelee na maongezi, hakika roho huwa inaniuma sana nnapokutana na washauri kama huyu!!!
Tunatofautiana mkuu,naye ndo ameona ingemfaa!!!
 
Duh pole sana inaonekana boda boda anamudu kwenye sita kwa sita ila wewe hela ndio inakulinda tu pole mkuu
 
Ni chatting au charting?!! Maana mim wa dhis iz a basket napataga tabu sana na hizi lugha zenu
 
Jamaaan pole mkhamu gwangu u seems bado unampenda ikikulu ghwako...
 
Pole sana mkuu ila hawa viumbe sijui huwa wanataka nini.
Yan mwanamke anajua kabsa ni jinsi gani unajitoa kwako unafanya kila uliwezalo kwa ajili yako lakin bado anakuona we kama boya tu.
Wewe unajitahd kutunza thaman ya penzi lenu yeye anaenda kugawa uroda kwa bodaboda.
Kikubwa mkuu kabla ya yote nenda kwanza kacheki afya yako maana bodaboda wengine siyo kabisa hadi inafika hatua mchumba wako anafundishwa mchezo mchafu kama huo inauma sana.
Mwache aendelee na bodaboda wake hakufai kabsa mkuu huyo.
Kama inafika stage upo nae mnapanga future yenu lakin mwezio mawazo yako kwa bodaboda hakika humo hakuna mwanamke.
Jipe mda kutafta mwingine huyo hakufai
Wanawqke tunapenda badboys awa wanaume ambao wako humble wanaboa hatuwataki.
 
Jifunze kupenda pombe, pombe haina unafiki wala uongo!! Live your life not her life.
 
Ukiwa na pesa na mbo.o ndefu na Nene kama tango...habari za kuchitiwa na mwanamke utazisikia tu kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tena wanao miliki mitango ndo wanao ongoza kwa kuchitiwa....wengi wao hawajui kuyatumia wanaya sokomeza tu shimoni ila wale size ya kati ndo balaaa
 
Back
Top Bottom