Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Ila mkuu ww ndo una makosa unamchumbia demu 3 years
Yaani 365x3=1,095 days
Umekuwa mtume ww!
Ungemuwowa verily 1st year hayo yote yangekukuta wap maana boda boda alimdandia katikat ya hiyo miaka yako 3 ya uchumba halafu broo 32 years now na mchumba ulikuwa naye y hukumuwowa au ulikuwa unamalizia PHD?
Ama ni karesearch kako ulikuwa unafanya?
Ww ndo umempa mazingira mwanamke wako kubebwa na wimbi hilo japo simuungi mkono kwa hiyo ya njia ya vumbi ila 3years uchumba hata shetani angemshangaa maana kila kukicha anatongozwa na yy umri unaenda na ana menopouse ww c hujali kwa sababu uko tayar hata kuitwa babu ila mwenzako yy ana kikomo dah sory ila najisikia tu nikitokwa na mapovu!!!
32 ndoa
33 mtoto wa kwanza
7yrs
7 yrs primary school
Una 47
Fm 4
Una 51
Six 53
Chuo unakimbilia 60
Dah kweli hesabu ndo maana ni ugonjwa wa Taifa na unfortunately numbers are like hips they don’t lie
Umetumia vema akili yako,hongera!
 
Mkuu kwan umemsikia mwinjilist akikuambia kala kwan yy alikuwa anasubiri akabiziwe na kaka mtu sema ndo hivo
This World is not fair and nolonger for fair people na kwenye game inakuwaga hivi GOOD GUYS DIES FIRST
[emoji1][emoji1] kumbe hajawahi kula doo.
 
[emoji1][emoji1] kumbe hajawahi kula doo.

Hapo ndio unafika ndan na order yako ya chamaki mchanga kuifungua unakuta ni Nungunungu
IMG_1337.JPG

Ukija na kizungu chako anakuambia my name is poncupine broo what is ur name
 
At least kwa hili nimekuelewa!
Katika yoote nadhani ukinipa maelekezo ya wapi nitapata kitabu hicho utakuwa umenisaidia zaidi!

Kitabu nilikinunua Mlimani City, kuna bookshop sikumbuki jina. Ukikosa nenda House of Wisdom au Novel Idea. All the best!
 
Pole sana mkuu!

Ila kuna wanawake wengine akili zao zinawatosha wao tu. Kipindi wengine wanatafuta kuolewa huku wakifunga na kuomba angalau wapate wachumba walio serious, wengine ndio hivyo tena wanachezea nafasi hizo.

Kisicho riziki hakiliki, tena shukuru umemgundua mapema na ukawa na ujasiri wa kusema acha aende zake.
 
Afu kesho kutwa anaenda kuweka foleni kwa pasta aombewe spate mume
 
Back
Top Bottom