Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

Jana nme ua tandu alikua ana zembe zembea mlangoni asee yule mdudu ni mbayaa na ana tisha .hadi saivi nahisi kama ana nitembelea .hiki kipindi cha mvua ni kua makini
 
Mi naona tumsupport tu mleta mada kwa style hii tutaua vipaji vingi.

Pole sana mleta mada tutakua makini kujilinda na nyoka.

Mi kuna sehemu nipo ugenini chini ya mlango wa kuingia bafuni kuna tundu na limeingia gamba la nyoka juu inaonekana sehemu ya kati na mkia na sina wasiwai

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
View attachment 2605838
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Poleni sana aiseh.
Uwe makini mwaga mafuta ya taa milangoni pia.
Na mifugo itolewe yote mafuta ya taa yamwagwe kama ni salama.
 
Hehe nyoka tiba yake kamili tafuta wale Bata wakubwa ,Kama nyoka ni wengi waweke Kama watano hivi ,hao hata black mamba ,ata cobra haufui dafu ,wana midomo mikali Kama msumeno ,nyoka akionekana tu wanajipanga ,atashambuliwa na Huwa wanamlaa nyoka mpaka mifupa baada kumuuwa ,sana Sana weka kuku pia ,kuku akipga kelele Bata wanakuja vamia
 
Kuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu
Cobra
View attachment 2603894
 
Acha tu yaani niliruka juu height kubwa sana nadhani hata masai niliwashinda.
Lakini hili tukio lilinifanya nigundue Mungu fundi sana kwenye upande wa response towards stimulus/Vichochezi.

Yaani ilinichukua muda wa 0.01second kuchukua hatua ya kuruka juu baada ya kumkanyaga. Nilivyomkanyaga mwili ukasisimka nikajiuliza nini hiki nimekanyaga kilaini hivi nikaruka. Yaani ndani ya muda mfupi sana. Nikawa nimefanya practical ya Topic ya Coordination
aseeeehhhh
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia. Mkoani nyoka wengi sana... Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Picha mkuu
 
Nyoka hana time na binadamu, ingekuwa anatuwinda watu wengi sana tungekuwa tumeishaumwa na nyoka, nyoka, nyoka anamuuma binadamu kwa ajili ya defence tu pale anapoona maisha yake yapo hatarini.
I can believe you kipindi katoto kangu kana miezi 11 Niko job amekaa chumbani kwa mpangaji mwenzangu anacheza yule dadakatoka chooni kakuta dogo Yuko karibu na jagi la vioo then kwenye jag Yuko nyoka Sasa anamchungulia
Alichofanya akatoka mbiooo kuita vijana Kuna mmoja anaitwa inno ,akaenda taratibu akamtoa dogo then wakamuua nyoka
Nilisimuliwa ila niliishiwa nguvu
 
Kuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu
Cobra
View attachment 2603894
 
We faller hata huko usukumani umewahi huona nyoka anakula nyama kwa kunyofoa?
Hii chai mbona imezidi...😂
Naona watu wanatiririka tuu stori za nyoka wakati mwana kapiga watu kamba za hatari.
Hata huyo Anaconda hawezi kunyofoa nyama kwenye windo alilokamata.
Nyoka wote wanameza.
Hawana meno yenye uwezo wa kunyofoa nyama kama anavyosema mwamba
 
Atakuwa nyoka mtu huyo
 
Nyakati hizi za mvua wanyama wengi hutafuta sehemu zenye joto
 
Acha tu yaani niliruka juu height kubwa sana nadhani hata masai niliwashinda.
Lakini hili tukio lilinifanya nigundue Mungu fundi sana kwenye upande wa response towards stimulus/Vichochezi.

Yaani ilinichukua muda wa 0.01second kuchukua hatua ya kuruka juu baada ya kumkanyaga. Nilivyomkanyaga mwili ukasisimka nikajiuliza nini hiki nimekanyaga kilaini hivi nikaruka. Yaani ndani ya muda mfupi sana. Nikawa nimefanya practical ya Topic ya Coordination
Adrenaline ikishamwagwa kwenye damu unapaa kabisa
 
Kuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu😅
Cobra
View attachment 2603894
duh
 
Acha tu yaani niliruka juu height kubwa sana nadhani hata masai niliwashinda.
Lakini hili tukio lilinifanya nigundue Mungu fundi sana kwenye upande wa response towards stimulus/Vichochezi.

Yaani ilinichukua muda wa 0.01second kuchukua hatua ya kuruka juu baada ya kumkanyaga. Nilivyomkanyaga mwili ukasisimka nikajiuliza nini hiki nimekanyaga kilaini hivi nikaruka. Yaani ndani ya muda mfupi sana. Nikawa nimefanya practical ya Topic ya Coordination
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom