Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

Nilikanyaga nyoka ,bahati nzuri nilikanyaga upande wa kichwani,niligundua alipoanza kujinyonganyonga mwili na kujiviringisha mguuni,akili ya haraka ikanijia kwamba kwakuwa mwili umeshajifunga mguuni nikiinua kuachia kichwa ataning'ata,nikakandamiza kiatu na kubana kichwa ardhini hadi alipojinyoosha kuashiria amekufa ndio nikamuachia,nikamfungua mguuni kwa mkono nikamtupia mbali.
Pole. Ingekua ni mimi ningeng'atwa maana sinaga uvumilivu mbele ya hao viumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu😅
Cobra
View attachment 2603894
Ukitoka nduki?
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Sipingi

Sipingi mwamba umevamiwa na nyoka,bali napinga huyo nyoka swila/cobra kula jogoo robo..hana tumbo hilo
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Dah,hii ni chai ya nguvu.

Sasa mkuu nyoka awepo kwako alafu uje kututishia hapa jf eti tuwe makini,nyoka anaweza kumla Hadi mtoto!!?

Alafu ulisikia wapi nyoka anatafuna minofu Kama fisi au mbwa? Nyoka anagonga (mwenye sumu) na asiye na sumu Kama chatu anameza na si kujisevia mapande ya minofu Kama Simba.

Hii ni chai au umeileta kwa kupaniki.
 
Kuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu😅
Cobra
View attachment 2603894
Ukitoka nduki
 
Jaman huku si ni MMU, ni mapenzi tu. Mambo ya nyoka tena? Mtoa mada utakua mwanamke maana mwanamke lazima asimulie kila kitu.

Haya pole
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Kawadanganye waliokulia mjini sisi wengine tumekulia kwenye makazi halisi ya nyoka. Cobra hatafuni anameza na kama ulimuua kweli weka picha usitake kutuona wote humu wajinga eti anatafuna mapande
 
Jamaa sikutaka kumbishia kabisa ili nisijifanye mr smart panty. Kiukweli cobra hatafuni anameza na kama cobra sio mkubwa sio rahisi kumua jogoo. Itakua kaona muvi fulani inaitwa Venom Island ndio kuna nyoka hybrid wao wao walikua wanatafuna nyama tu yaani wakikamata mtu anabaki na mashimo mashimo.
 
Akimng'ata sumu inamuua ila hayo mambo ya kutafuna dah katuchota sana kiufupi fb imehamia humu
 
Ungesema kenge, kidooogo tungekuamini!

Nyoka hata awe mkubwa anagonga, anameza (kama ana sumu) kama hana sumu, anakamata na kumeza
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Hiv nyoka si huwa anameza tu
 
Kawadanganye waliokulia mjini sisi wengine tumekulia kwenye makazi halisi ya nyoka. Cobra hatafuni anameza na kama ulimuua kweli weka picha usitake kutuona wote humu wajinga eti anatafuna mapande
Hapa Mim nimeshangaa cjaww ona nyoka akitafuna zaid ya kumezaaa...
 
Jamani😢, mimi huwa nikiona tu kwenye TV vile anatembea mwili unasisimka vibaya mno, ila maandiko yanasema pia yamethibitisha binadamu na nyoka ni maadui wakubwa sana☹️
Nyoka hana time na binadamu, ingekuwa anatuwinda watu wengi sana tungekuwa tumeishaumwa na nyoka, nyoka, nyoka anamuuma binadamu kwa ajili ya defence tu pale anapoona maisha yake yapo hatarini.
 
Jamani, mimi huwa nikiona tu kwenye TV vile anatembea mwili unasisimka vibaya mno, ila maandiko yanasema pia yamethibitisha binadamu na nyoka ni maadui wakubwa sana

Sema inabidi ukutane nae siku moja uone show

Sitasahau 2015 nipo kwa bibi likizo…..sasa usiku bibi kaniagiza ndani kuchukua unga kulkua na mwanga hafifu wa mshumaa ile kuingia ndani tu hivi mjomba huyu hapa anazama kwenye gunia za mahindi daah….
 
Daah, mimi sitaki bwana.
 
Back
Top Bottom