MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,377
- 40,186
Uko sahihi kabisa. Kuna Mmbu wa Morogoro wanakula mpunga.
KumbeNyoka hana time na binadamu, ingekuwa anatuwinda watu wengi sana tungekuwa tumeishaumwa na nyoka, nyoka, nyoka anamuuma binadamu kwa ajili ya defence tu pale anapoona maisha yake yapo hatarini.

Nilipo fika kwenye kunyofoa minofu ya kuku hapo nikaganda kidogo . Tangu nianze kuangalia vipindi vya wanyama na kusoma makala za wanayama sijawahi sikia au ona nyoka akitafuna minofu.
Ikabidi nije kwenye koment labda mm mshamba kumbe washamba tupo wengi
au hautaki?Kama hutaki si utoke bado upo tu?Daah, mimi sitaki bwana.
Mzee umenichekeshaKuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu
Cobra
View attachment 2603894
![]()
Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...www.jamiiforums.com

Dah kaka unanikumbusha nyumbani kwetu songea, mlilayoyo awajambo lkn hukoView attachment 2603909
Nmeona comment ya bwana Da'Vinci Ikanikumbusha katukio haka nlimpitia huyu mwanaharamu na ka Boxer bike kangu wakati naenda mashambani Songea huko ilikuwa 2020.
Ile village inaitwa mlilayoyo kama sijakosea
Asante kwa kutuonya ili tuchukue tahadhari. Lakini na ww chukua tahadhari unapoleta habari /taarifa isiyo na ukweli.Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...
Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.
Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.
Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.
Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.
Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno
NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Akh mkuu nlienda tu kwenye mission moja mwaka huo hata sipo huko sahivi😅😅Dah kaka unanikumbusha nyumbani kwetu songea, mlilayoyo awajambo lkn huko
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...
Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.
Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.
Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.
Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.
Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno
NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
NA HILI NALO MKALITAZAME!!!!Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...
Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.
Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.
Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.
Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.
Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno
NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Muongo huyo tangu lini NYOKA akanyofoa nyamaDuuuh,hilo nyoka la kunyofoa nyama kabisa sijui ni la aina gani kwani wengi huwa wanameza
Unapotembea maporini unapishana sana na nyoka bila kuwaona na wenyewe huwa wamepozi tu wanatutazama nia yetu, kama hatuna time nao, pia hawana noma na sisi. Ni rahisi kuumwa na nyoka mkionana naye face to face kuliko ukiwa hujamuona, maana unapoonana nae mwili wako unareact kwa defence na yeye anajiona yuko hatarini, so ni either akimbie au apambane, busara zetu nyie wote wawili wakati huo ndio zitaleta amani au vita.Kumbe
Siku ingine usisahau kuweka ka picha......😊Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...