Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

Negotiation na Nyoka ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Umenifurahisha sana Mkuu..
Nimekutana sana na halufu ya wali porini..nimekuja kujuaa baadae kuwa Chatu au Nyoka..

Uzuri kazi za porini zimeishaa..๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kila nikikumbuka zile hali nasema kweli nilinusirika kumezwa mara nyingi sana.Mida mingine unakuwa na njaa na unasikia wali ule kule.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Moja ya kitu ngumu ni kukutana na Nyoka aliyekuwa anasemekana wa Tambiko kijiji flani.

Uso kwa uso kwenye Chem chem ya maji..Nyoka alikuwa mrefu ,aliondoka taratibu mpaka anaishia..nikaisihiwa pozi nikapiga kelele moja kali sana๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ lakini watu walikuwa mbali.

Lile tukio halifutiki kwenye memories zangu.
Umekutana na nyoka wa Tambiko (Mzimu?) basi una bahati sanaโ€ฆ.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
I can believe you kipindi katoto kangu kana miezi 11 Niko job amekaa chumbani kwa mpangaji mwenzangu anacheza yule dadakatoka chooni kakuta dogo Yuko karibu na jagi la vioo then kwenye jag Yuko nyoka Sasa anamchungulia
Alichofanya akatoka mbiooo kuita vijana Kuna mmoja anaitwa inno ,akaenda taratibu akamtoa dogo then wakamuua nyoka
Nilisimuliwa ila niliishiwa nguvu
Watoto wadogo bado wanakuwa hawana instincts za kuogopa wadudu, na vitu kama hivyo, so kila kitu anaona mchezo tu, kwa hiyo hazalishi kemikali zinazotupata tukiwa na hali ya kuogopa, kemikali ambazo nyoko huwa anazihisi ukizitoa, so ndio maana ni rahisi kukuta mtoto anacheza na nyoka, busara hapo ni kutoshtuka na kutafuta mbinu za kumuondoa mtoto au nyoka kwani licha ya kuwa wanacheza inawezekana mtoto akamkandamiza au kumuuma na nyoka akareact. Hatari lakini Salama.
 
Hehe nyoka tiba yake kamili tafuta wale Bata wakubwa ,Kama nyoka ni wengi waweke Kama watano hivi ,hao hata black mamba ,ata cobra haufui dafu ,wana midomo mikali Kama msumeno ,nyoka akionekana tu wanajipanga ,atashambuliwa na Huwa wanamlaa nyoka mpaka mifupa baada kumuuwa ,sana Sana weka kuku pia ,kuku akipga kelele Bata wanakuja vamia
Ndege John?
 
Negotiation na Nyoka ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Umenifurahisha sana Mkuu..
Nimekutana sana na halufu ya wali porini..nimekuja kujuaa baadae kuwa Chatu au Nyoka..

Uzuri kazi za porini zimeishaa..๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kila nikikumbuka zile hali nasema kweli nilinusirika kumezwa mara nyingi sana.Mida mingine unakuwa na njaa na unasikia wali ule kule.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Moja ya kitu ngumu ni kukutana na Nyoka aliyekuwa anasemekana wa Tambiko kijiji flani.

Uso kwa uso kwenye Chem chem ya maji..Nyoka alikuwa mrefu ,aliondoka taratibu mpaka anaishia..nikaisihiwa pozi nikapiga kelele moja kali sana๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ lakini watu walikuwa mbali.

Lile tukio halifutiki kwenye memories zangu.
Kumbe wananukiaga wali๐Ÿ˜‚
 
Mtwara shuleni nimeona nyoka nkanaanza mbio km zote na mikelele
Wanafunzi wakaja walivomuona wakaanza nicheka"madam huyuu nyoka haumi acha uoga bwanaa"wakamuacha aende
Nilichokaaa
Kumbe we ni mwalimu na upo Mtwara a k a New York of Africa?
 
Nilikanyaga nyoka ,bahati nzuri nilikanyaga upande wa kichwani,niligundua alipoanza kujinyonganyonga mwili na kujiviringisha mguuni,akili ya haraka ikanijia kwamba kwakuwa mwili umeshajifunga mguuni nikiinua kuachia kichwa ataning'ata,nikakandamiza kiatu na kubana kichwa ardhini hadi alipojinyoosha kuashiria amekufa ndio nikamuachia,nikamfungua mguuni kwa mkono nikamtupia mbali.
Ongeza sukari kidoooogo....
 
Hahaa,duu
 
Nyoka kula kwake ni kumeza mkuu, Nyoka ana kula nyama kama chui
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia. Mkoani nyoka wengi sana... Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Huyo si nyoka kwa tabia hizo, nyoka hana tabia ya kula nyama kwa kunyofoa minofu na kutafuna kama simba, labda ilikuwa unaota ndoto.
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia. Mkoani nyoka wengi sana... Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Umeingiliwa na nyoka au kenge? Toka lini nyoka ananyofoa manyoya kuku ama ndege, nyoka anameza tu kuku hatafuni hata siku moja.
 
Watoto wadogo bado wanakuwa hawana instincts za kuogopa wadudu, na vitu kama hivyo, so kila kitu anaona mchezo tu, kwa hiyo hazalishi kemikali zinazotupata tukiwa na hali ya kuogopa, kemikali ambazo nyoko huwa anazihisi ukizitoa, so ndio maana ni rahisi kukuta mtoto anacheza na nyoka, busara hapo ni kutoshtuka na kutafuta mbinu za kumuondoa mtoto au nyoka kwani licha ya kuwa wanacheza inawezekana mtoto akamkandamiza au kumuuma na nyoka akareact. Hatari lakini Salama.
Duhhh...Mungu atulinde Kwa Kweli na alinde hivi vitoto vyetu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilikanyaga nyoka ,bahati nzuri nilikanyaga upande wa kichwani,niligundua alipoanza kujinyonganyonga mwili na kujiviringisha mguuni,akili ya haraka ikanijia kwamba kwakuwa mwili umeshajifunga mguuni nikiinua kuachia kichwa ataning'ata,nikakandamiza kiatu na kubana kichwa ardhini hadi alipojinyoosha kuashiria amekufa ndio nikamuachia,nikamfungua mguuni kwa mkono nikamtupia mbali.
Weeeeeeee!!!!nimepata goosebumps

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Uongo sio jambo jema, hivi nyoka ana ng'ata na kunyofoa ama ana swalow...๐Ÿค”
 
Back
Top Bottom