Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

Nyoka ananyofoa nyama anakula😆😆😆😆😆dah aiseeeh
Yani nyoka ananyofoa nyama??!😂😂

Am sorry mkuu sijaiskia vizuri,umesema nyoka ananyofoa nyama kwa kuku anakula😂😂dah hii kamba naikwepa wakuu
 
Nenda kwenye vijiwe vya kahawa na uwasimulie hii hadithi ili upewe kahawa na kashata bure.

Ni Lini nyoka akanyofoa mapande ya nyama??
Huyu jamaa alidhani hapa jamvini yuko na chekechea eti fisi akamwambia sungura desh desh desh.
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Hapo kwenye kukata mapande ya nyama ndo nlipo achia kusoma .... kwa asili nyoka ana asili ya kumeza huko kukata mapande ya nyama unatudanganya pia cjui umetuchukuliaje
 
Tuliosoma Moro Mzumbe kule..swala la nyoka kawaida .jamaa angu tumetoka prepo usiku saa sita hivi..kakanyaga nyoka...nyoka kamng'ata na kung'ang'ania mguuni aisee...!! toa wapi..kuja kumuachia jamaa..akakimbia, tukampa jamaa huduma ya kwanza kumfunga na kuchana chana mguu..tukamuwahisha hospitali ya Cho pale MU, guu lilivimba balaaaa ..kesho jamaa akawa fresh akaruhusiwa!!
 
Nacheka kama mazuri, pole sana .. mimi huwa sijawahi kuona hao viumbe kabisa vikiwa hai na naomba Sana Mungu nisiwaone maana dah sijui itakuwaje
Nijiwa mdogo tena peku, niliwahi kumkanyaga nyoka. Mungu ashukuriwe, nyoka hakuhangaika na mimi bali aliendelea na Safar
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Ulimkata na mikono ili asije akafufuka akaendelea kunyofoa?
 
Nyoka mwenye meno ya fisiii..😀
😀😀
 
Hata kwenu huko Kolelo hajawahi kuonekana nyoka wa aina hiyo mkuu??
Unamjua nyoka anaitwa Collin Diep ?🐒
 
Unapotembea maporini unapishana sana na nyoka bila kuwaona na wenyewe huwa wamepozi tu wanatutazama nia yetu, kama hatuna time nao, pia hawana noma na sisi. Ni rahisi kuumwa na nyoka mkionana naye face to face kuliko ukiwa hujamuona, maana unapoonana nae mwili wako unareact kwa defence na yeye anajiona yuko hatarini, so ni either akimbie au apambane, busara zetu nyie wote wawili wakati huo ndio zitaleta amani au vita.
Negotiation na Nyoka 😀😀😀
Umenifurahisha sana Mkuu..
Nimekutana sana na halufu ya wali porini..nimekuja kujuaa baadae kuwa Chatu au Nyoka..

Uzuri kazi za porini zimeishaa..😀😀😀kila nikikumbuka zile hali nasema kweli nilinusirika kumezwa mara nyingi sana.Mida mingine unakuwa na njaa na unasikia wali ule kule.😀😀😀

Moja ya kitu ngumu ni kukutana na Nyoka aliyekuwa anasemekana wa Tambiko kijiji flani.

Uso kwa uso kwenye Chem chem ya maji..Nyoka alikuwa mrefu ,aliondoka taratibu mpaka anaishia..nikaisihiwa pozi nikapiga kelele moja kali sana😀😀😀😀 lakini watu walikuwa mbali.

Lile tukio halifutiki kwenye memories zangu.
 
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...

Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.

Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.

Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.

Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.

Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno

NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Tuwe makini wapi sasa mkuu?. Kwani wote tumekusanyika tunaishi hapo unapoishi?. Uwe makini wewe,maana wapo nyoka wengine wanakuja.
Halafu sijawahi ona nyoka anaetafuna. Anakata na kutafuna. Uwe makini zaidi wewe maana hao nyoka sio wa kawaida
 
Kuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu
Cobra
View attachment 2603894
Kwa hiyo ikakujia ile spirit kali ya muda ukajikuta unapaaa.. ..!
 
Back
Top Bottom