Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

Nyoka ananyofoa nyama anakulaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†dah aiseeeh
Yani nyoka ananyofoa nyama??!πŸ˜‚πŸ˜‚

Am sorry mkuu sijaiskia vizuri,umesema nyoka ananyofoa nyama kwa kuku anakulaπŸ˜‚πŸ˜‚dah hii kamba naikwepa wakuu
 
Nenda kwenye vijiwe vya kahawa na uwasimulie hii hadithi ili upewe kahawa na kashata bure.

Ni Lini nyoka akanyofoa mapande ya nyama??
Huyu jamaa alidhani hapa jamvini yuko na chekechea eti fisi akamwambia sungura desh desh desh.
 
Hapo kwenye kukata mapande ya nyama ndo nlipo achia kusoma .... kwa asili nyoka ana asili ya kumeza huko kukata mapande ya nyama unatudanganya pia cjui umetuchukuliaje
 
Tuliosoma Moro Mzumbe kule..swala la nyoka kawaida .jamaa angu tumetoka prepo usiku saa sita hivi..kakanyaga nyoka...nyoka kamng'ata na kung'ang'ania mguuni aisee...!! toa wapi..kuja kumuachia jamaa..akakimbia, tukampa jamaa huduma ya kwanza kumfunga na kuchana chana mguu..tukamuwahisha hospitali ya Cho pale MU, guu lilivimba balaaaa ..kesho jamaa akawa fresh akaruhusiwa!!
 
Nacheka kama mazuri[emoji3064][emoji23], pole sana .. mimi huwa sijawahi kuona hao viumbe kabisa vikiwa hai na naomba Sana Mungu nisiwaone maana dah sijui itakuwaje [emoji22]
Nijiwa mdogo tena peku, niliwahi kumkanyaga nyoka. Mungu ashukuriwe, nyoka hakuhangaika na mimi bali aliendelea na Safar
 
Ulimkata na mikono ili asije akafufuka akaendelea kunyofoa?
 
Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ni nyoka au lugha ya picha?
 
Nyoka mwenye meno ya fisiii..πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€
 
Hata kwenu huko Kolelo hajawahi kuonekana nyoka wa aina hiyo mkuu??
Unamjua nyoka anaitwa Collin Diep ?πŸ’
 
Negotiation na Nyoka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Umenifurahisha sana Mkuu..
Nimekutana sana na halufu ya wali porini..nimekuja kujuaa baadae kuwa Chatu au Nyoka..

Uzuri kazi za porini zimeishaa..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kila nikikumbuka zile hali nasema kweli nilinusirika kumezwa mara nyingi sana.Mida mingine unakuwa na njaa na unasikia wali ule kule.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Moja ya kitu ngumu ni kukutana na Nyoka aliyekuwa anasemekana wa Tambiko kijiji flani.

Uso kwa uso kwenye Chem chem ya maji..Nyoka alikuwa mrefu ,aliondoka taratibu mpaka anaishia..nikaisihiwa pozi nikapiga kelele moja kali sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ lakini watu walikuwa mbali.

Lile tukio halifutiki kwenye memories zangu.
 
Tuwe makini wapi sasa mkuu?. Kwani wote tumekusanyika tunaishi hapo unapoishi?. Uwe makini wewe,maana wapo nyoka wengine wanakuja.
Halafu sijawahi ona nyoka anaetafuna. Anakata na kutafuna. Uwe makini zaidi wewe maana hao nyoka sio wa kawaida
 
Kwa hiyo ikakujia ile spirit kali ya muda ukajikuta unapaaa.. ..![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…