Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

Jan 26, 2019
67
86
Habari za wakati huu wapendwa,

Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku na umefika Kenya katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi.

Naomba msaada kutoka kwa wale wenye uzoefu, ni kweli au ni uwongo? Sijui kama ni matapeli au la. Mzigo umewasili asubuhi ya leo na wameniambia niulete Tabora, lakini wameniambia kuna gharama ya kusafirisha ya Tsh 70,000 kuja Tanzania.

WA-IMG-20240313-7e7adf32.jpg
WA-IMG-20240313-19a30136.jpg
WA-IMG-20240313-cc9eef35.jpg
WA-IMG-20240313-39521af8.jpg
 
Habari za wakati huu wapendwa wana jukwaa naomba ufafanuzi jaman kuna mtu kanitumia bidhaa kama zawadi IPHONE,LAPTOP na pesa taslimu $1500.. naomba msaada kwa wale wazoefu maana mzigo umetumwa jana usiku umefika kenya at NAIROBI kenyata international airport ... NAOMBA MSAADA0KWALE WAZOEFU MNIAMBIE JE0HII NI KWEL AU UONGO SIJAJUA KAMA NI MATAPELI AU LA .mzigo umefika asubuhi leo na wamenitaarifu nimewaambia uletwe TABORA ameniambia kuna gharama kusafirisha ya 70000 tsh kuja TanzaniaView attachment 2934123View attachment 2934124
Eeh watu wanatumia akili kweli kupata pesa kwa kutapeli watu kuliko kutumia akili kujiongezea thamani..
 
Habari za wakati huu wapendwa wana jukwaa naomba ufafanuzi jaman kuna mtu kanitumia bidhaa kama zawadi IPHONE,LAPTOP na pesa taslimu $1500.. naomba msaada kwa wale wazoefu maana mzigo umetumwa jana usiku umefika kenya at NAIROBI kenyata international airport ... NAOMBA MSAADA0KWALE WAZOEFU MNIAMBIE JE0HII NI KWEL AU UONGO SIJAJUA KAMA NI MATAPELI AU LA .mzigo umefika asubuhi leo na wamenitaarifu nimewaambia uletwe TABORA ameniambia kuna gharama kusafirisha ya 70000 tsh kuja TanzaniaView attachment 2934123View attachment 2934124
Wafungue wagawe hizo dola wajilipe.
 
Hii kitu ni kweli kabisa tuma pesa chap upate mzigo wako. Then ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom