Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
Amekuambiaje huko gerezani atakaa muda gani?
jana kuna mahali nilisema siasa anayoongea lema kwa wengi ni next level....kwa hali ya kawaida mtu unaeza kupinga kwa kuwa tu hujui maana yake.......hakika huyu ndiye aliyethubutu na kwa kukaa huko naamini siku si nyingi haki na usawa vitatitirika kama maji ya mto
soon mtasikia amekufa katika mazingira ya kutatanisha. CCM oyee
soon mtasikia amekufa katika mazingira ya kutatanisha. CCM oyee
ni wadogo sana,wangekuwa tromatized.wanatakiwa waandaliwe kisaikolojia kabla hawajamwona.ni kati ya 5 and 3
na sasa baada ya kuzuia hiyo trauma ndo imezuiwa?.ni wadogo sana,wangekuwa tromatized.wanatakiwa waandaliwe kisaikolojia kabla hawajamwona.
Du,haya mdau,kuhusu wafungwa wanawake hapo,amewezaje kukutana nao?
Hakuna lolote hapo Lema anataka kucheza sinema ya kihindi ambayo imeisha julikana, KUTAFUTA UMAARUFU HAUTAFUTWI KWA NJIA HIYO
Wakati tunaondoka alimwambie mke wake "BE STRONG, The purpose of life sio kisses na maisha mazuri. BE STRONG KAMA MKE WA
MARTIN LUTHER CORETTA KING"
Wanaonibeza wacha wanibeze lakini kukaa gerezani kuna maana kubwa sana kwangu.
Nawasilisha
Amekuambiaje huko gerezani atakaa muda gani?