Anza kuwalipia, hujakatazwa..ila sisi Kama jamhuri tunasimamia sheria zilizopo ambazo sote tulikubaliana kuzifuata.Sio wote wanaoshitakiwa wana hatia....dhamana ni haki ya mtuhumiwa...unless ni haini.....so Kama wewe unavuta hewa safi shukuru.......haunga mkono kabisa .......wanyonge walipiwe dhamana watoke rumanden..wasubiri hatima Zao mahakamani .....uraiani...
Nimetokea magereza kuu ya mkoa wa Arusha, Kisongo ambako nilikwenda na mke wa Lema na watoto wake. Watoto wake wawili Allbless na Brilliant hawakuruhusiwa kumuona baba yao na wamelia kwa uchungu mkubwa sana wakati askari magereza walipowazuia.
Lema yupo Imara na still msimamo wake uko palepale. Ameona na azidi kujifunza mengi, amewakuta watu wengi wanaolalama kwa kubambikiziwa kesi, amewakuta maskini kibao ambao wamefungwa kwa sababu ya kushindwa kulipa faini ya pesa kidogo na ameomba watu wenye nia njema wachange fedha kuwasaidia watu hao waondoke magereza.
Amewakuta wafungwa wanawaKe wakikosa huduma muhimu kama vitambaa vya kike yaani pedi na hali ni mbaya sana.
Wakati tunaondoka alimwambie mke wake "BE STRONG, The purpose of life sio kisses na maisha mazuri. BE STRONG KAMA MKE WA MARTIN LUTHER CORETTA KING"
Wanaonibeza wacha wanibeze lakini kukaa gerezani kuna maana kubwa sana kwangu.
Nawasilisha.