Nimetokea mahabusu kumuona Lema leo

new MADIBA in the making .... mafisadi soon mwisho wao utafika
 
Du,haya mdau,kuhusu wafungwa wanawake hapo,amewezaje kukutana nao?

sidhani kama ccm wana muda, hekima wala huruma za kuwanunulia wafungwa wa kike pedi, hawako tayari kumkosesha kigogo shangingi kwa uendekeza huo upuuzi.
 
jana kuna mahali nilisema siasa anayoongea lema kwa wengi ni next level....kwa hali ya kawaida mtu unaeza kupinga kwa kuwa tu hujui maana yake.......hakika huyu ndiye aliyethubutu na kwa kukaa huko naamini siku si nyingi haki na usawa vitatitirika kama maji ya mto
Naona mfano wa Pazia la Hekalu likiwa limepasuka.
 
Asante mkuu kwa taarifa hizi muhimu sana. A Tanzanian hero in the making, kwa sababu viongozi wote tulio nao sidhani kama kuna hata mmoja aliwahi kukaa mahabusu. Labda Mwali Nyerere enzi za kupigania uhuru aliwahi kufnguliwa kesi. Sasa Lema anakuja huyo, kwa wanaobeza waangalie wasije yakawakuta ya Mzee Gadaffi ambaye alikufa kifo dhalili lakini alichojitengenezea yeye mwenyewe
 
Wacha aendelee kukaa huko jela kama alivyotaka.
Pale ndipo panapomstahili yeye na wahalifu wenzake.
Nadhani alikuwa amewa-miss sana machalii waliofungwa siku nyingi....sijui walimpokeaje.

Arusha is a better place without Lema![/QUOTE

Siyo wote walioko gerezani ni waalifu ila wapo pale kwa sababu ya kusingiziwa uhalifu kama unavyosema. Na wewe naona unaelekea kuwa mhalifu coz unaongea mambo usiyoyajua. Illa huyu Lema hadi anajua wafungwa wanawake wanakosa pedi! jamani kwani sirikali ya magamba ndiyo inahusika kugawa hizo nani hiii? si wanatakiwa kuletew na ndugu zao au? au ndugu zao wanakatazwa kuzileta? Tunaomba mtoa mada siku akirudi kumpa hii Ngoromiko huko gerezani basi aje na hayo majibu
 
Ndo maana ya kukaa jera, asingekuwa yeye yasingejulikana haya. Lema ni waziri kivuli wa magreza pia hivyo anatekeleza wajibu wake pia japo yuko jera. Vipi mkuu wakutupe wewe ukahakikishe kama wanapewa au la!

umefika mbaali,na hujaelewa tu kwanini nimeulza.pole
 
hilojina ngoromiko ni mnyama asiyeona mchana
mkuu nakumbuka umelelewa kwa wale wazee wa kiislam pale machame
tunasikia kwenu mna laana
je ni kweli???

Laana wanayo wanaojipeleka wenyewe jela, pamoja na mashabiki wao kama wewe.
Mnahitaji ukombozi wa fikra.
 
sidhani kama ccm wana muda, hekima wala huruma za kuwanunulia wafungwa wa kike pedi, hawako tayari kumkosesha kigogo shangingi kwa uendekeza huo upuuzi.

Jamani hayo mambo ya pads za kununua si asili ya watanzania walio wengi, wanawake wanajua namna ya kujihifadhi hata bila ya hayo madudu yenu. Tusiwadhalilishe hivyo mama zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu na binti zetu.

Kwa kuwa kwake mahabusu, Lema hana fursa ya kuwatembelea na hata kukutana na mahabusu na wafungwa wanawake, unless tuambiwe kwamba yeye ni "visiting Justice".

Namwunga mkono Lema kwa uamuzi wa kwenda mahabusu nikiamini kwamba atajifunza na kuibua maovu wanayotendewa wafungwa na mahabusu lakni pia kwenda kwake kule kunamsogeza karibu zaidi na watanzania maskini na waliopigika wanaoishi kwa udokozi na wizi wa kuaminiwa.

Akimaliza mission yake na kama ataamua kuyafanyia kazi atakayoyaona kule, ninaamini ataishika Arusha na hakuna atakayeiondoa mikononi mwake.
 
jana kuna mahali nilisema siasa anayoongea lema kwa wengi ni next level....kwa hali ya kawaida mtu unaeza kupinga kwa kuwa tu hujui maana yake.......hakika huyu ndiye aliyethubutu na kwa kukaa huko naamini siku si nyingi haki na usawa vitatitirika kama maji ya mto
Unajua nimepita sehemu nimemsikia mzee moja wa makamo, amevaa batiki ya kijani anaseme hivi "Unajua huyu kijana ana roho mbaya sana, kitendo cha kukataa dhamana ni roho ya kiuaji simpendi kabisa"
 
Jamani hayo mambo ya pads za kununua si asili ya watanzania walio wengi, wanawake wanajua namna ya kujihifadhi hata bila ya hayo madudu yenu. Tusiwadhalilishe hivyo mama zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu na binti zetu.

Kwa kuwa kwake mahabusu, Lema hana fursa ya kuwatembelea na hata kukutana na mahabusu na wafungwa wanawake, unless tuambiwe kwamba yeye ni "visiting Justice".

Namwunga mkono Lema kwa uamuzi wa kwenda mahabusu nikiamini kwamba atajifunza na kuibua maovu wanayotendewa wafungwa na mahabusu lakni pia kwenda kwake kule kunamsogeza karibu zaidi na watanzania maskini na waliopigika wanaoishi kwa udokozi na wizi wa kuaminiwa.

Akimaliza mission yake na kama ataamua kuyafanyia kazi atakayoyaona kule, ninaamini ataishika Arusha na hakuna atakayeiondoa mikononi mwake.
Ukiwa unaishi/kaa stendi ya mabasi unajua mengi yanayotokea stendi kuliko abiria anayejipitia njia/aliye safarini
 
Tupo pamoja na kamanda LEMA,Mungu mkubwa nasema wao serikali ya CCM na watoto wanapesa na kupeana nafasi,sisi watanzania wa CHADEMA tuna MUNGU,haki yetu kila siku inachukuliwa na watu wachache na watoto wao wa CCM,Freedom is coming.
 
Nimetokea magereza kuu ya mkoa wa arusha, kisongo ambako nilikwenda na mke wa Lema na watoto wake. Watoto wake wawili Allbless na Brilliant hawakuruhusiwa kumuona baba yao
Nawasilisha.

Imekuwa vizuri watoto kutoruhisiwa manake wanaweza kuambukizwa ugonjwa wa baba yao wa kupenda kujipeleka jela.
 
Wacha aendelee kukaa huko jela kama alivyotaka.
Pale ndipo panapomstahili yeye na wahalifu wenzake.
Nadhani alikuwa amewa-miss sana machalii waliofungwa siku nyingi....sijui walimpokeaje.

Arusha is a better place without Lema!

Ndo Mzee wa Machame safari akina Ndosi na wenzio tunawajua wazee wa kafara tulikuwa tunakusaka kumbe hata majini yanaingia humu?. Ngoromiko ni jini wenye jicho moja na hilo unalijua na sishangai comments zako homeboy kwani huoni sawasawa. Halafu wewe unamsaliti homeboy wako hufai kwa lolote lakini sishangai kazi ya ngoromiko ni uharibifu.
 
Narudia tena, Lema ni mwanaume wa kukata na shoka! Zuberi anaishi kwa gia ya virungu sasa aone wanaume wenye ujasiri.

go go Lema....! Komaa na hawa wanyanyasaji. wamechosha watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom