Ujumbe wa Godbless Lema (Mbunge wa Arusha Mjini) kwa mke wake leo wakati alipomtembelea katika gereza la Kisongo Mkoani Arusha "BE STRONG, The purpose of life sio kisses (busu) na maisha mazuri. BE STRONG KAMA MKE WA MARTIN LUTHER CORETTA KING,Wanaonibeza wacha wanibeze lakini kukaa gerezani kuna maana kubwa sana kwangu." Nini maoni yako?
Source; Stephen Owawa facebook page
Kwa hiyo...? magamba?Hii habari ishaletwa hapa saa mingi sana
Ana kesi ya wizi wa magari? au?
acha kuwatafutia wenzako banKafungwa miaka mingapi kwani?
Ana kesi ya wizi wa magari? au?
Kafungwa miaka mingapi kwani?
This is just ridiculous..sasa tuwachangie wahalifu waloshindwa kulipa faini? What kind of nonsense is this?
Hata ukijua haitakusaidia kwa jinsi ulivyo mnafiki. Inatakiwa ujue kuwa Kamanda Lema yupo gerezani.
This is just ridiculous..sasa tuwachangie wahalifu waloshindwa kulipa faini? What kind of nonsense is this?
Arusha bila walamba viatu wa CCM inawezekani tutawatoa hao machalii walioonewa kwa kukosa rushwa na kuwasweka mafisadi na vibaraka waoWacha aendelee kukaa huko jela kama alivyotaka.
Pale ndipo panapomstahili yeye na wahalifu wenzake.
Nadhani alikuwa amewa-miss sana machalii waliofungwa siku nyingi....sijui walimpokeaje.
Arusha is a better place without Lema!
Kwa kesi gani?
Homeboy ndo kitu gani? Sitaki kuhusishwa na homeboy kanjanja wa kisiasa kama Godbless. Mrudisheni shule kwanza huyo dogo wenu, anatutia aibu hapa Arusha.