Nimetokea mahabusu kumuona Lema leo

SAA YA UKOMBOZI NI SASA
HONGERA LEMA,NAANDIKA HAYA NIKIONA AIBU KUBWA KWA SISI VIJANA WA KITANZANIA AMBAO TUMEPATA BAHATI YA KUSOMA JAPPO KIASI CHA KUJITAMBUA,TUNAVYOENDELEA KUKAA KWENYE VITI VIREFU NA KUJIRUSHA BILA KUJALI HALI YA NCHI YETU NA MASKINI NDUGU ZETU,BILA KUJALI UMASIKINI WALIO NAO NDUGU ZETU NA MAJIRANI ZETU

MBAYA ZAIDI NAWAFIKIRIA VIJANA WENYE NGUVU NA WASOMI WANAOENDELEA KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA MAPINDUZI KWELI NI HATARI SANA

HUU NI WAKATI WETU TUCHUKUE HATUA,NCHI HII NI YETU NA SISI NDIO TUTAKAOIKOMBOA MIKONONI MWA WAKOLONI WEUSI

amkeni tujipange uwezo tunao
 
  • Thanks
Reactions: MPG
Nimetokea magereza kuu ya mkoa wa arusha,

Wanaonibeza wacha wanibeze lakini kukaa gerezani kuna maana kubwa sana kwangu.

Nawasilisha.
Magamba wakiona mh.Lemma atanufaika kwa kukaa gerezani wataenda kumtoa.ha ha ha .
Ama wakiona inalipa nao watajifanya kuleta chokochoko ili nao waende jela. Angalia yule mbunge wa Nzega anavyohangaika, ha ha ha.

Lema endelea mbele...mtetezi wa kweli wa wanyonge. Watetezi feki na wanaotafuta ujiko watajitokeza ila wewe umeonesha njia.
 
Ukienda tena mwambia hivi tarehe 14 asikubali kuja mahakamani..

Siku moja tu kaishanza kulalamika kaa miaka mitatu at least ndio uanze kulalamika
 
Ndo Mzee wa Machame safari akina Ndosi na wenzio tunawajua wazee wa kafara tulikuwa tunakusaka kumbe hata majini yanaingia humu?. Ngoromiko ni jini wenye jicho moja na hilo unalijua na sishangai comments zako homeboy kwani huoni sawasawa. Halafu wewe unamsaliti homeboy wako hufai kwa lolote lakini sishangai kazi ya ngoromiko ni uharibifu.

Homeboy ndo kitu gani? Sitaki kuhusishwa na homeboy kanjanja wa kisiasa kama Godbless. Mrudisheni shule kwanza huyo dogo wenu, anatutia aibu hapa Arusha.
 
Hii ni hatari kubwa sana na taarifa mbaya kwa CCM!
Kaza buti kamanda vipofu waone na viwete watatembea mwaka huu!
 
Pigana kamanda,cha kujivunia ni kwamba tutashinda
Kitendo cha wana-Arusha mjini kukuchagua kuwa mbunge wao ni vita tosha na ushindi kamili waja
 
Homeboy ndo kitu gani? Sitaki kuhusishwa na homeboy kanjanja wa kisiasa kama Godbless. Mrudisheni shule kwanza huyo dogo wenu, anatutia aibu hapa Arusha.
wewe ni limbukeni unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo akili umefungia kabatini,na utaendelea kuwa na fikra mgando kama vilaza wenzako wa CCM
 
By Ngoromiko Wacha aendelee kukaa huko jela kama alivyotaka.
Pale ndipo panapomstahili yeye na wahalifu wenzake.

Wewe unasema hivyo wakati wenzako akina Mwema wanafikiria namna ya kumtoa. Hawakutegemea kama atakataa kulipa fine. Kwa sasa watakuwa wanaangalia upepo kwanza!! Hii njia itasaidia sana upinzani. Kwa mtindo wa Leama, naona kuanzia sasa police wataogopa kukamata wapinzani ovyoovyo!!!!
 
Nimetokea magereza kuu ya mkoa wa Arusha, Kisongo ambako nilikwenda na mke wa Lema na watoto wake. Watoto wake wawili Allbless na Brilliant hawakuruhusiwa kumuona baba yao na wamelia kwa uchungu mkubwa sana wakati askari magereza walipowazuia.

Wanaonibeza wacha wanibeze lakini kukaa gerezani kuna maana kubwa sana kwangu.

Nawasilisha.

Machozi yamenitoka kuhusu watoto bora mama yao asingewachukua kwenda nao gerezani. Watoto hupenda sana sana wazazi wao watakuwa wameumia sana na kuingiwa woga.

God bless you Lema! God bless you!
 
Nimeipenda hii "BE STRONG, The purpose of life sio kisses na maisha mazuri. BE STRONG KAMA MKE WA MARTIN LUTHER CORETTA KING"

Wanaonibeza wacha wanibeze lakini kukaa gerezani kuna maana kubwa sana kwangu.'' Hapo ndio mzalendo halisi anapoonyesha uzalendo wake hata kwa familia.....God Bless U mwanaharakati mpiganaji, tupo nyuma yako
 
Homeboy ndo kitu gani? Sitaki kuhusishwa na homeboy kanjanja wa kisiasa kama Godbless. Mrudisheni shule kwanza huyo dogo wenu, anatutia aibu hapa Arusha.

Kama sio kuhofia kupigwa ban, ningekut..............!
 
of couse is more than that the gay is fulfiling the purpose of life,

Mbunge Lema si gay kaka .Bora mpende kutumia kiswahili inakuwa rahisi zaidi kuliko kizungu where end up with names calling na kashfa kwa Lema .
 
kapata fursa ipi ya kuongea na wafungwa wa kike ili hali yeye c mwanamke pia ni mahabusu kama wengine na wala c Askari, mnataka tuamini kwa kuwa nyie ni chadema?,, kweli Mnayenu mambo eendeleeni ,
 
Kesho kutakuwa na mgomo wa daladala kumuunga mkono kwa uamzi wake huo...CCM wana haha kuwa bembeleza wasigome
 
Ukienda tena mwambia hivi tarehe 14 asikubali kuja mahakamani..

Siku moja tu kaishanza kulalamika kaa miaka mitatu at least ndio uanze kulalamika

Naona wewe Ritz unashikishwa ukuta na huyo Nape anyekulipa mshahara kwa kuongea pumba tumia kamati kuu ya akili yako kufanya uamzi wewe ni moja ya vijana wapumbavu nchii hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom