Nimetokea kumpenda faith p assenga.

Nimetokea kumpenda faith p assenga.

Iunafikiri twenye maakili ya hivi huwa tunashobokea wavulana? Mshika mbili moja humponyoka, huyu unafukuzia akiwa 2nd year halafu unakubaliwa wakati anamalizia mwaka wa 3. Kumuangusha dhambini baada ya kumeet wazazi wake akiwa likizo ya kusaka kazi! All the best.

wapo wengi tu,tena huwa wanashobokea wanaume na kupata sup kozi ya kwanza tu! Ukifuatilia wale wote wanaokuwa macho juu juu wiki ya kwanza tu ni hawa. Huwa wanapigwa mti fasta fasta na viongozi na wafanya supaafu anaachiwa washkaji wengine waendelee kumbuluza.
 
Hicho ni kichwa kwa sec, ila akija huku chuo especially SUA tena asome BVM lazima atambae, hapa ni mziki menene, unapiga masomo yapatayo 8 kwa miezi 3 tena yamasheheni minotice, unapigwa assignment, practical report, presentation na mi CAT, wakti form 6 unasoma masomo 5 kwa mwaka, weeeee acha aisee.
 
We hujui kama wachagga ndo tuna run hii Tanzania?

Ndio maana Tanzania wizi mtupu! nilikuwa sijui kwanini, sasa nimepata jibu. Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Hicho ni kichwa kwa sec, ila akija huku chuo especially SUA tena asome BVM lazima atambae, hapa ni mziki menene, unapiga masomo yapatayo 8 kwa miezi 3 tena yamasheheni minotice, unapigwa assignment, practical report, presentation na mi CAT, wakti form 6 unasoma masomo 5 kwa mwaka, weeeee acha aisee.

hata huku state university lazima arudishwe kwao mwaka wa kwanza..ngoja tuone ataenda wapi..
 
Iunafikiri twenye maakili ya hivi huwa tunashobokea wavulana? Mshika mbili moja humponyoka, huyu unafukuzia akiwa 2nd year halafu unakubaliwa wakati anamalizia mwaka wa 3. Kumuangusha dhambini baada ya kumeet wazazi wake akiwa likizo ya kusaka kazi! All the best.

mbona me nimeisha mlamba mmoja,tena hawa ndo huwaga wana shobo za kijinga zinazowapelekea kuvuliwa chup* kiulaini sana.
 
Hicho ni kichwa kwa sec, ila akija huku chuo especially SUA tena asome BVM lazima atambae, hapa ni mziki menene, unapiga masomo yapatayo 8 kwa miezi 3 tena yamasheheni minotice, unapigwa assignment, practical report, presentation na mi CAT, wakti form 6 unasoma masomo 5 kwa mwaka, weeeee acha aisee.

hata huku state university lazima arudishwe kwao mwaka wa kwanza..ngoja tuone ataenda wapi..

Acheni wivu wa kijinga, hizo :blah: won't get you anywhere, just give her credits bana, nyie wakati mpo level yake ilikuwaje? what makes you so sure that hataweza akija huko? I've got doubt on how you guys reached whichever stage you are right now.
Miafrika ndivyo tulivyo..:embarrassed:
 
uliza ma TO wenzio wako wapi ndugu yangu..tuna uhakika tunayonena hapa,huyo dada ni kilaza kakalilishwa matango hana lolote.. Kama akienda kati ya hivyo vyuo hapo juu nitakupa mrejesho.usiwaze
 
I need you faith p assenga mwenye mawasiliano naye anisaidie.
 
i love her so much,
ila one day nitaonana naye nakumpa ukwel wangu wa moyoni
uzuri co xura jaman bali uzuri ni tabia na ukarimu pia na busara ya mtu.mie nimempenda jinc alivyo na co xura.

upo sahihi, ni mzuri sana tu. Bt hii njia uliyotumia, kah!.
 
Back
Top Bottom