Nimetokea kumpenda faith p assenga.

Wachaga ni nouma xana,
na mie lazma nioe mchaga aixeee tena huyu huyu faith p assenga.
 
Vilaza! Mbona vyuon hawaonekan hao tz one? Watoto wa wakulima wanaotoka na div 2 au 3 ndio wanaburuza?
 
Acha kujisifu we *****? Muhagati chacha ni mchaga? Mbona wa2 wa kutoka sehemu zingine wakiongoza huwa mko kimya? Msitake kila kitu kizuri kiwe kwenu b'ana.
 
picha please...

Picture 034.jpg

Umependa nini hapo kijana?
 
Iunafikiri twenye maakili ya hivi huwa tunashobokea wavulana? Mshika mbili moja humponyoka, huyu unafukuzia akiwa 2nd year halafu unakubaliwa wakati anamalizia mwaka wa 3. Kumuangusha dhambini baada ya kumeet wazazi wake akiwa likizo ya kusaka kazi! All the best.
 
Back
Top Bottom