Nimetokea kumpenda faith p assenga.

Nimetokea kumpenda faith p assenga.

Jamni sio vizuri kumdiscuss mtu jinsi alivyo kwani sote tumeumbwa na Mungu mmoja na kila mmoja ameumbwa kwa namna yake kumsema mtu kwa jinsi alivyo ni kumkufuru Mungu maana yy ameumba kwa makusudi yake.....kila mmoja anamapungufu yako lakini tusiyafanye haya mapungufu kuwa mjadala...lakini pia swala la mtu kufanya vizuri advance na kufanya vibaya chuoni inategemea na mazingira gani huyo mtu amepitia kutokea huko advance..wengine huwa wanalimitiwa sana kutoka na kupelekwa boarding school ambazo zinabana sana hivyo mtu anapofika chuoni anajisahau wakati mwingine na mpaka kujakujitambua inakuwa too late lakini sio wote wanaofanya vizuri advance basi na chuoni wanavurunda..kila kitu ni mikakati na jambo unaloliona gumu kwako basi usifikirie na mwenzio ataliona gumu kama unavyofikiria....ndo maana kuna wa kwanza na wa mwisho..kuna nyuma na mbele..kuna katikati na pembeni ....all i mean is things are not the same at all...
 
i love her so much,
ila one day nitaonana naye nakumpa ukwel wangu wa moyoni
uzuri co xura jaman bali uzuri ni tabia na ukarimu pia na busara ya mtu.mie nimempenda jinc alivyo na co xura.
Iyo tabia umeijulia wap wakati Ata ujawai muona [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Acheni wivu wa kijinga, hizo :blah: won't get you anywhere, just give her credits bana, nyie wakati mpo level yake ilikuwaje? what makes you so sure that hataweza akija huko? I've got doubt on how you guys reached whichever stage you are right now.
Miafrika ndivyo tulivyo..:embarrassed:
 
Iunafikiri twenye maakili ya hivi huwa tunashobokea wavulana? Mshika mbili moja humponyoka, huyu unafukuzia akiwa 2nd year halafu unakubaliwa wakati anamalizia mwaka wa 3. Kumuangusha dhambini baada ya kumeet wazazi wake akiwa likizo ya kusaka kazi! All the best.
Mmh
 
Back
Top Bottom