Nimetembea na GF wa rafiki yangu

Unaweza ukaita ni umalaya ,......!Lakini kikubwa hapo ni ubinadamu ,kinachotakiwa ni kukwepa mazingira yanayoweza kuwafikisha hapo!Hawa ni mazingira yaliwapeleka hapo ,ila cha kushangaza aliyeleta habari hii hajaomba ushauri...nafikiri ameleta ..habari,na kwake yaelekea ni nzuri.
 
Mimi ni muumini mzuri wa falsafa za "the end justifies the means" kwaiyo kama at the end of the day kitu walichofanya kilimsaidia victim (Msichana) ambaye alikuwa amefanyiwa abuse ya hali ya juu na jamaa yake asifanye kitu cha ajabu kama kujiua etc etc mi naona fresh tu.

Mara nyingi marafiki wa aina yako huwa wanavizia kipindi ambacho kuna misukosuko katika famili, lengo si kusuluhisha lengo ni ku-take advantage. Huo ni usaliti ndugu yangu. Misemo mingi imetungwa na watu kwa ajili ya kujiridhisha hivyo sio kila kitu au msemo uuonao ndio uwe kama sheria ya kukuongoza. Jaribu kufikiria original ya usemi huo na matumizi yake. Nafikiri utanielewa sasa.
 
Ndugu yangu jambo ulilolifanya sio sahihi kabisa hasa kwa rafiki yako. Wewe sio rafiki wa kweli. Lingine mshauri jamaa yako kuwa yuko na changudoa aachane naye mara moja la sivyo kaburi linanyatia.

Yupo sahihi huenda demu alikuwa anamtaka jamaa yake asugue badala yake kaambulia kichapo basi demu kaona dawa amepata ni kusaidiwa na rafikie, duh ilikuwa tamu yaelekea
 
You can fool people for sometym but you can't fool people all the tym.............................
 
Mara nyingi marafiki wa aina yako huwa wanavizia kipindi ambacho kuna misukosuko katika famili, lengo si kusuluhisha lengo ni ku-take advantage. Huo ni usaliti ndugu yangu. Misemo mingi imetungwa na watu kwa ajili ya kujiridhisha hivyo sio kila kitu au msemo uuonao ndio uwe kama sheria ya kukuongoza. Jaribu kufikiria original ya usemi huo na matumizi yake. Nafikiri utanielewa sasa.
U call it PROBLEM but i call it OPPORTUNITY!!!
 
You can fool some people for sometym but you can't fool all the people all the times....................
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu

nafkiri ungetoa neno rafiki, maana ya rafiki ni kubwa sana, ungekuwa friend wa uyo jamaa usingemfanyia huo upuuuzi.we kwetu tungesha kunanihiiiii................!
 
Huo ni umalaya tu unakusumbua wewe Pu**** imekutoka sasa unaingi kwa wasichana wa marafiki zako. UKIMWIIIIIIIIIIIIII unakunyemelea wewe subiri
 
kanyaga twende hata ingekuwa mke wa kaka yangu nachapa tuu,biashara ya kupiga wasichana imepitwa na wakati na wao wanahitaji mapenzi na kuburudishwa,hongera shujaa ukikutana na mwingine wa hivyo we chapa tuu,hata mimi nachapaga wengi sana wanapenda kuliwazwa hao,na maliwazo yao ni kichapo.
 
kutembea! kutembea! Kwani kuna shida gani? Si walitembea tuuuuuuuu jamani. Walikuwa wanatembea toka Boko hadi wapi tena vile? Sijui naota? Ok kumbe aalim-do! Sawa kama ni hivyo hana adabu. Wote hawana adabu. Tena tukikujua tunakuchapa bakora
 
kanyaga twende hata ingekuwa mke wa kaka yangu nachapa tuu,biashara ya kupiga wasichana imepitwa na wakati na wao wanahitaji mapenzi na kuburudishwa,hongera shujaa ukikutana na mwingine wa hivyo we chapa tuu,hata mimi nachapaga wengi sana wanapenda kuliwazwa hao,na maliwazo yao ni kichapo.


madada wa bongo hata kama wameolewa wanapenda kuliwazwa sana dawa yao ndio hii kichapo chapo chapo,chapaaaaaa kabisa
 
Sawa kaka me nakubali we shababi, lakini samahan naomba kukuuliza nini lengo kuu la post yako hii, je ulikua unatka ushauri, kama ushauri je ni upi? au tuchangie nini? Nadhan kama we mwanume ulie kamilika sidhan kama ungeweza kusimama mbele ya wanume wenzio ukajinad kwa semi na tungo zako, mwana ndio unaanza nini maswala ya ngono au? na wasiwasi we bado mgiligili!
 
Wewe ni mwongo mkubwa hukutumia condomu nakujua ukizingatia mazingira uliyopewa busu nafasi hukuwa nayo!!!

hahaah hata mimi nimepima nikaona kondom jamaa hakutumia maana anasema alipoangalia pembeni akaona condom. sasa hic=zo najua huwa zinatumzwa mahali pa siri sasa jamaa ana ngoma tayari huyo. kaaka tupo na wewe kwa muda mfupi utatutoka
 
Back
Top Bottom