Nimetembea na GF wa rafiki yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimetembea na GF wa rafiki yangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Humphnicky, Dec 13, 2010.

 1. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
  Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
  Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.

  Binti akanipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kavimba jicho na sura nzima, analia.
  Nikakaa na kumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
  Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.

  Nilipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye. Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.

  Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280
  Umalaya tu ndio unaokusumbua
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh we huoni hata mauvimbe mkuu
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  [​IMG] [​IMG] [​IMG]
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280
  Jamaa kiu ilikuwa inamsumbua
   
 6. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Una uhakika?
   
 7. Muacici

  Muacici JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu jambo ulilolifanya sio sahihi kabisa hasa kwa rafiki yako. Wewe sio rafiki wa kweli. Lingine mshauri jamaa yako kuwa yuko na changudoa aachane naye mara moja la sivyo kaburi linanyatia.
   
 8. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Una uhakika kuwa demu ni changudoa?
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ni Zaidi ya Umalaya ni USALITI, Kama mimi ndiyo huyo msela wako ( Naamini yuko hapa JF na kwa namna ulivyoelezea mazingira kashakufahamu) adhabu yako ni kukugonga na Gari tu
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280
  Kweli mshikaji huna maana, halafu unaona ujiko unakuja kujigamba hapa JF
   
 11. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Hii ni hatari
   
 12. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huna tofauti na MBWA, utakuja kugonga hadi mke wa kaka ako au mdogo ako...

  na uyo aliyekugongea senks, nahisi mnafanana akili
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mwongo mkubwa hukutumia condomu nakujua ukizingatia mazingira uliyopewa busu nafasi hukuwa nayo!!!
   
 15. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi hapa dogo unataka tukushauri nini hasa?
  Nawasilisha!!!!
   
 16. Muacici

  Muacici JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Alichokifanya hakinatofauti na uchangu doa. Maana alijua fika wewe ni rafiki ya mpenzi wake na ndiye aliyeanza kukuvuta kwenye huo mtego na ukaingia, inaonyesha ni mzoefu. Ungesema wewe ndiye uliyeanza kufanya hayo nisingemlaumu na kumwita changudoa.
   
 17. Julz

  Julz Senior Member

  #17
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ila kumkatalia demu hasa ambaye anahitaji kuonyeshwa upendo kwa kipindi husika ni kazi.......
   
 18. Muacici

  Muacici JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nyinyi ndio wamoja, refer to my posts above for warning!!
   
 19. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Unaweza kuuita umalaya, lakini wengine wanaweza kusema ni ujinga na ushamba, na wengine wanaweza kusema uanaume. Kuna watu huwa wanaona sifa na ujanja kutembea na msururu wa wanawake. Wengine uanaume wao uko kwenye kutembea na wanawake wengi, kwa hiyo usimwite malaya, ni vizuri ukimpongeza.
   
 20. Charles1990

  Charles1990 JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  He!he! Umeungama mkuu.
   
Loading...