Nimetembea na GF wa rafiki yangu

Na pia huo muda wa kumchukua na kumbembeleza mpaka kumpeleka hospitali na kurudi mume wa mwanamke alikuwa wapi?

Hii CHAI hii.
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu
Daaaah,mwana nilikuwa nakuchukulia kama ndugu yangu,kumbe ugomvi wetu kwako sherehe. Imeniuma sana,ila cna jinsi. Nakuachia endelea naye,ila Mungu atalipa. Unajuabkabisa ndiye mtarajiwa wangu,unajua kabisa natumia shilingi ngapi kumuhudumia,unajua kabisa kua ni mjamzito wa miezi miwili. Daaaaaah,imeniuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm mamaeee nishaamua namba ya dem wangu ntampa mtu mmoja tu mdogo wangu wa kiume anaenifata atleast huyo ndo nnae weza kumuamin
hakuna mtu mwingne sijui ndugu au rafiki ntakaeruhus awe na namba ya dem wangu
ingawa ntamtambulisha tu kwao lkn mazoea sityahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu
duhhh kaka ww mkali sana yaani shem kupumzika kwako2 kosa mhhhhhhh kazi kwako akiachika ni mzigo wako angalia usipige Tigo2
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu
Tukusaidieje sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A - alikuwa na nia akakuonesha dalili zote B-ulipojiridhisha kuwa A kuna kitu anahitaji ukazidisha maujanja ya kumkandakanda kwa hila.
Ulipoona amekolea ukajifanya kuaga huku ukimuangalia kwa jicho la Huruma yenye hila za kimapenzi ndipo A- alipojilengesha kabisa alipoona akili zenu shetwain kazitawala.
Ushauri usiwe msuluhishi toa visingizio kibao, epuka kukutana tena na huyo A vinginevyo urafiki wako utajenga uadui mkubwa. A akikubananisha mwambie unashangaa nani? Kamwambia kuwa tulimsaliti ? Il
 
umegonga kavu chain ya ngoma inazidi kusambaa maana sidhani kama demu anaweza kukaa ndani na boksi la ndomu. Umeuza mechi kizembe sana
 
duuh hi mada ya kitaambo sana mtoa mada na sisi tulichongia tushakua wahenga kwa sasa
 
Bora umeropoka mwenyewe.... nashukuru saana jf kwa kuficha id... hatujuani ila watu wanajiachia....

Nakuhaid mleta mada... ujumbe umefika kwa mlengwa.. ili next time usirudie

Sent from "La -Vista"
 
Back
Top Bottom