Nimetembea na GF wa rafiki yangu

what goes around, comes around, subiri na zamu yako ya kugongea inakuja, sasa sijui utamlaum nani?
 
kuna dada mmoja anaitwa nyangoma aliwahi kuleta mada humu kuwa kagongwa na rafiki wa karibu wa BF wake...... naona nyie mtafutane.....maaan nyote hamna maana
 
what goes around, comes around, subiri na zamu yako ya kugongea inakuja, sasa sijui utamlaum nani?

Nani kakupa stori hiyo? We unadhani ukiwa hugongi madem wengine ndo wako hagongwi? Acheni hizo, Infi is there to stay
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu
wewe ulisema umeondolewa pepo la pu.n.yeto na kwamba umepata mchumba utafunga naye ndoa baada ya miezi sita, leo unakuja na hili tena, we balaa sana
 
Hukupaswa hata kuleta hii habari unafikiri kuna cha maana ulichokifanya kama si ujinga huo !Ipo siku utamegwa wewe sasa
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu

Unaona kitendo ulichokifanya ni sifa hadi uje kujitangaza huku? Kuna maana gani basi ya kuwa na rafiki kama wewe? Wewe ni mnafiki tu na wala hustahili kuwa rafiki. Ni bora tu umwambie ukweli huyo rafiki yako ili ajue wewe ni mtu wa aina gani. Na huo usuluhishi wala haukufai ni bora tu uwaambie watafute mtu mwingine ili awapatanishe.

Nadhani wachangiaji wengi tumeshindwa kuangalia mazingira hatarishi nikiwa na maana kuwa wanawake wengi huwa wanatega wenzao na kufanya makusudi maana anapotaka kulipiza kisasi kwa Bf.wake anatafuta mtu ambaye yeye anadhani ni bora na salama kwake kuliko kwenda kuanza mahisiano mapya na pia TABIA YA KUPIGA WANAWAKE SIYO NZURI NI AIBU KWA MAGENT. Wa ukweli.
 
Back
Top Bottom