Nimetembea na GF wa rafiki yangu

Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu

umevujisha mwenyewe, kitakachokukuta usimlaumu mtu... mimi ninafahamu kabisa hiyo kesi na mshikaji ninmfaham...anza kusali huyo shetani wako akupokee vizuri maana maisha yako sasa yako hatarini.....
 
huyo demu malaya na wewe mwenyewe malaya, huwezi kusimamisha kibamia chako huku ukijua kwamba demu ni wa rafiki yako...afu keshavimbishwa sura!
 
wandewa msimlaumu sana.mimi nikijaribu kupiga picha, kweli mazingira yalikua magumu kwake.someni vuzuri thread yake, alikaa na huyu shemeji yake kwa muda mrefu na mpaka alikua akimsaidia kazi (hatujui kazi zipi). kwa uelewa wangu jamaa mwenye demu alikua ameshamuachia uhuru mkubwa mno huyu jamaa yetu wa kua karibu na demu wake.me nadhani cha msingi aachane na habari ya kusuluhisha.ni bora afanye juhudi waachane kabisa ili awe nae huyo demu.isitoshe kama jamaa alitembeza kipigo mpaka demu ikabidi apelekwe hosp na hakujali tena kurudi mpaka demu akampigia simu huyu jamaa yetu then sidhani kama anauchungu au mapenzi yeyote na huyo demu.so mimi nadhani jamaa asionwe shetani moja kwa moja.
 
Wewe ni mwongo mkubwa hukutumia condomu nakujua ukizingatia mazingira uliyopewa busu nafasi hukuwa nayo!!!
Hata mm nimeshanga tukio la dharura kivazi ktupatia wapi? Kajishtukia tu na ubazazi wake , lakini ajue muosha huoshwa yy akimshughulia demu wa best yake na wake alikuwa anashughulikiwa hivyo asijione mjanja
 
Nyinyi ndio wamoja, refer to my posts above for warning!!

Mimi ni muumini mzuri wa falsafa za "the end justifies the means" kwaiyo kama at the end of the day kitu walichofanya kilimsaidia victim (Msichana) ambaye alikuwa amefanyiwa abuse ya hali ya juu na jamaa yake asifanye kitu cha ajabu kama kujiua etc etc mi naona fresh tu.
 
jicho lilikuwa limevimba.... uso umevimba......ukamega.....

sifa ya moyo ni tamaa
 
Hata mm nimeshanga tukio la dharura kivazi ktupatia wapi? Kajishtukia tu na ubazazi wake , lakini ajue muosha huoshwa yy akimshughulia demu wa best yake na wake alikuwa anashughulikiwa hivyo asijione mjanja

Hapo ktk red usidhani usiposhughulikia mademu wengine labda wako atakuwa safe...NOT GUARANTEED!!
 
ulichofanya ni kitu kibaya sana na huyo demu ni changu tu mwenyewe unajiona mjanja kumbe umeuziwa mbuzi kwenye gunia na mshikaji kama yuko humu jf na anasoma hiyo post siku mkienda tena kulewa anakuwekea drugs halafu anakubandua uje tena kusimulia hapa
 
Mimi ni muumini mzuri wa falsafa za "the end justifies the means" kwaiyo kama at the end of the day kitu walichofanya kilimsaidia victim (Msichana) ambaye alikuwa amefanyiwa abuse ya hali ya juu na jamaa yake asifanye kitu cha ajabu kama kujiua etc etc mi naona fresh tu.
hahahaha comrade kuna ends nyingine soo!
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu

KULA mtano UTAMPIGAJE MWANAMKE ???????? BIG UP BRO NA HII IWE DAWA KWA WANAOPIGA WAPENZI WAO
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu

Naona leo mmeamua kuleta Thread za kuinajisi jF. Hamna la kukusifu kwalo kero tupu!
 
hahahaha comrade kuna ends nyingine soo!

Sasa jamaa limempiga demu wake alafu burden nzima anatwishwa mshikaji wake, lazima malipo yawepo ili akome kabisa!!mwanaume wa kweli hampigi demu wake bana!!and afterall what he doesnt know won't hurt him...
 
Una pepo la ngono kaka, unastahili maombi ya kufunga na kuomba sana vinginevyo unatangonoka mpaka ndg zako.
 
Sasa jamaa limempiga demu wake alafu burden nzima anatwishwa mshikaji wake, lazima malipo yawepo ili akome kabisa!!mwanaume wa kweli hampigi demu wake bana!!and afterall what he doesnt know won't hurt him...
Ivi mleta mada alikua anatuhabarisha yaliyojiri au anaomba ushauri? mi hata sijamuelewa!!
 
Back
Top Bottom